Wachaga, wachaga tatizo ni Lema

Wachaga, wachaga tatizo ni Lema

Kabisa mambo madogo hayo yasipewe nafasi sana. Naukizingatia ni tetesi. Kujumuisha jamii nzima pia ni tatizo kubwa zaidi.
Nipo na lissu nipo na chadema , hawa wanaharakati , mpaka sasa ni wavurugaji tu , mange analipwa kwa udaku na watu wamejaa
 
Wachaga waliporwa mali zao , walifutiwa vibali vya biashara , waliswekwa ndani bila ushahidi wowote

Biashara zao ziliuwawa kwa kauli na mamlaka za nguvu sana kwa visingizio lukuki kipindi cha utawala wa Magu.

Sasa hawana hamu kabisa wameona watulie kabisa , na wengine wameacha Biashara zao wamewekeza kwenye ufugaji na kilimo bila kutaka shari na serikalini.

Kama ni siasa wengi wamevua gamba , na wengine wamejitoa na kutolewa kabisa kwenye sehemu nyeti za sirikali

Leo hii kosa la Lema ambalo halina hata uthibitisho wowote linafanya kejeli kutupiwa kabila zima , sio x tu hata humu JF nyuzi kibao za makasiriko tu.

Iwe ni kweli au sio kweli , je ni lema tu aliye nunulika chadema ambae ilitosha kuhukumu kabila zima ?

Je kina

Zitto , na liijua likali , na wengine Kibao nao ni wachaga? , ikawaje wao wasitupiwe lawama kwa ukabila ikawa ni wachaga tu?

Mbona kama kuna harufu ya wachaga kutotakiwa kabisa ndani ya chadema hii na baadhi ya wanaharakati uchwara tena wanaoaminika ndani ya chadema?
Ngoja niwatetee shemeji zangu, mbona huwa hamna baya ila labda shida yenu huwa ni wakweli sana, hilo nalo linawaponza. Siasa zinataka unafiki mno!
 
Kweli kabisa, siasa za upinzani kwetu zimeanza kitambo mno , vyama vyote vikuu vilivyotoa changamoto kwa mbogamboga ukitoa CUF viliongozwa na wachaga kwanzia chadema , TLp, NCCR mageuzi.
 
Nipo na lissu nipo na chadema , hawa wanaharakati , mpaka sasa ni wavurugaji tu , mange analipwa kwa udaku na watu wamejaa

Kabisa Lissu ni jembe sana, Heche nae yupo vizuri ila lazima wapime mambo wanaharakati ni wazuri tunawapenda ila wasiwe wavurugaji chama kikasambaratika zaidi.
 
Kweli kabisa, siasa za upinzani kwetu zimeanza kitambo mno , vyama vyote vikuu vilivyotoa changamoto kwa mbogamboga ukitoa CUF viliongozwa na wachaga kwanzia chadema , TLp, NCCR mageuzi.

Na walitumia nguvu na resources zao kwa muda mrefu alafu mtu atoke huko Kazuramimba, Itilima, Nanjilinji na kwingineko kuja kubeza jamii yetu.
 
Na walitumia nduvu na resources zao kwa muda mrefu alafu mtu atoke huko Kazura mimba, Itilima, Nanjilinji na kwingineko kuja kubeza jamii yetu.
Hili tunapinga kwa wivu mkubwa mno, wao wakiwa navaa vitenge vya mbogamboga sisi tulipinga , ukitoa viongozi wa sisiem kata ni wapi wachaga wamehongwa baiskeli za sisiem ? Hata hao viongozi wa mbogamboga uchagani waliochomekwa tu wamepewa pikipiki na sio baiskeli na vitenge
 
Wanaharakati ni kama wana nguvu ya kuamua mwelekeo wa chama kwa maoni yao binafsi tu🤔

Hapo cha kinakuwa hakina viongozi sasa. Lazima viongozi wawe makini kwa sababu hata hao wanaharakati wanaweza kutumika pia.

Do not trust any, wataalam wa ujasusi wanaelewa. Unachunguza na wewe uchunguzwa.
 
Hili tunapinga kwa wivu mkubwa mno, wao wakiwa navaa vitenge vya mbogamboga sisi tulipinga , ukitoa viongozi wa sisiem kata ni wapi wachaga wamehongwa baiskeli za sisiem ? Hata hao viongozi wa mbogamboga uchagani waliochomekwa tu wamepewa pikipiki na sio baiskeli na vitenge

Si ndio hapo Wachagga wamepitia kipindi kirefu sana cha kutengwa kwenye baadhi ya mambo tangu serikali ya awamu ya kwanza kwa sababu ya misimamo yao ya kimageuzi na upinzani, wazazi wengine mpaka wakawa hawawaiti watoto wao majina ya ukoo shuleni ili tuu ukuepusha kutengwa.

Mkoa wa Kilimanjaro umerudi nyuma hasa kuanzia miaka ya 2000 kasi ya ukuaji sio kama zamani sababu ni hizo hizo za misimamo yao ya upinzani hivyo kukosa support ya kutosha ya serikali.
Mfano Magu alisema kama umepigia upinzani hakuna kupata maendeleo

Kwa hiyo hata kama tukiamua kuunga juhudi ni zamu yetu na wao wapambane kama Wachagga walivyopambana kwa miaka 30 ikapelekea kupoteza fursa nyingi sana.

Wewe fikiria Moshi ni muda ingekuwa jiji ila ilikosa fursa hiyo kwa sababu tuu ya msimamo wa kuwa upinzani.
 
Hao jamaa ndio highest rank/icon, wakivurunda tu kabila zima litaonekana liko hivyo. Wachaga ni bright mjuba, u smart wao unaheshimika sana, sasa akina Lema wakicheza madesa tu inakula kabila zima
 
Wachaga waliporwa mali zao , walifutiwa vibali vya biashara , waliswekwa ndani bila ushahidi wowote

Biashara zao ziliuwawa kwa kauli na mamlaka za nguvu sana kwa visingizio lukuki kipindi cha utawala wa Magu.

Sasa hawana hamu kabisa wameona watulie kabisa , na wengine wameacha Biashara zao wamewekeza kwenye ufugaji na kilimo bila kutaka shari na serikalini.

Kama ni siasa wengi wamevua gamba , na wengine wamejitoa na kutolewa kabisa kwenye sehemu nyeti za sirikali

Leo hii kosa la Lema ambalo halina hata uthibitisho wowote linafanya kejeli kutupiwa kabila zima , sio x tu hata humu JF nyuzi kibao za makasiriko tu.

Iwe ni kweli au sio kweli , je ni lema tu aliye nunulika chadema ambae ilitosha kuhukumu kabila zima ?

Je kina

Zitto , na liijua likali , na wengine Kibao nao ni wachaga? , ikawaje wao wasitupiwe lawama kwa ukabila ikawa ni wachaga tu?

Mbona kama kuna harufu ya wachaga kutotakiwa kabisa ndani ya chadema hii na baadhi ya wanaharakati uchwara tena wanaoaminika ndani ya chadema?
Ccm ndicho walichokitaka, kuipasua chadema, kugombanisha watu kikanda na kikabila na wamefanikiwa.
Hizi zote ni tuhuma fake. Na huyu sista wa US naye amaeanza kuchanganyikiwa
 
Back
Top Bottom