Experience ya miaka 5 kwenye ndoa ni bado sanaaa. Piga 15 then uje hapa utupe uzoefu. Kuhusu uchagga au ukabila siingii humo manake kila kabila lina uzuri na ubaya wake.
Ukiona unapenda mke goigoi kuna makabila yako ivyo, ukitaka mchapakazi yapo pia, ukitaka wa kubinjuka kunako 6×6 wapo pia.
Ukitaka mafiga 3 wapo pia.
Ukitaka wenye heshima na maadili kwenye ndoa wapo pia.
Ni wewe tu na hisia na nini unakitaka kutoka kwa mke.
Ila hayupo aliye mkamilifu kila idara Mkuu.