Wachaga tusiwadharau katika mapenzi

Wachaga tusiwadharau katika mapenzi

Status
Not open for further replies.

TOMEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
588
Reaction score
118
Kumekuwa na mtazamo kwamba wachaga ni watu wasiojua mapenzi na wao wameweka pesa mbele mfano mwanamke yupo tayari kumuua mumewe ili arithi mali,hilo jambo sio kweli sababu mimi nimeoa mchaga na tuna miaka mitano katika ndoa na tunaishi vizuri na mke wangu kwahiyo naomba tusiwadharau wachaga
 
nani kawadharau,. au umepotea njia wewe!!
 
Miaka mitano kwani mingi...? Lakini pia psychologicaly naona kuna kitu kinakusumbua mpaka kufikaia kuandika hivi...lakini najua huwaezi kukisema...
 
Kumekuwa na mtazamo kwamba wachaga ni watu wasiojua mapenzi na wao wameweka pesa mbele mfano mwanamke yupo tayari kumuua mumewe ili arithi mali,hilo jambo sio kweli sababu mimi nimeoa mchaga na tuna miaka mitano katika ndoa na tunaishi vizuri na mke wangu kwahiyo naomba tusiwadharau wachaga

Ish! Wewe unaongea kwa experience ya 5yrs tu. Kajipange upya uje na research kamili.
 
Miaka mitano kwani mingi...? Lakini pia psychologicaly naona kuna kitu kinakusumbua mpaka kufikaia kuandika hivi...lakini najua huwaezi kukisema...

hakuna kitu kinachonisumbua but nataka niondoe hii dhana mbaya juu ya wachaga
 
una matatizo na ndoa yako binafsi ila unataka kuhalalisha tatizo lako lipo kwa wengine pia,. Acha kumbwela omba usaidiwe,.
 
nina amani kabisa na ndoa yangu,unajua nn mara ya kwaza nilikuwa nawaogopa wachaga hususani kwa maswala ya mpz lakini saiv naamani nao
 
Kumekuwa na mtazamo kwamba wachaga ni watu wasiojua mapenzi na wao wameweka pesa mbele mfano mwanamke yupo tayari kumuua mumewe ili arithi mali,hilo jambo sio kweli sababu mimi nimeoa mchaga na tuna miaka mitano katika ndoa na tunaishi vizuri na mke wangu kwahiyo naomba tusiwadharau wachaga

Peleka jukwaa la Malalamiko.
 
wachanga tupo kwenye fun.....big up,mankaa,ndeshau,chuwaa,shirima,tarimo,temba,wachangaaa tunampresentii ma ma mapenziiiiiiiiiiiiii
 
Hongera nawe leo umeanzisha uzi jf... ila ni mwepesi sana kwa mtu mwenye ndoa ya miaka 5 na manka banaa...!!!
 
Kumekuwa na mtazamo kwamba wachaga ni watu wasiojua mapenzi na wao wameweka pesa mbele mfano mwanamke yupo tayari kumuua mumewe ili arithi mali,hilo jambo sio kweli sababu mimi nimeoa mchaga na tuna miaka mitano katika ndoa na tunaishi vizuri na mke wangu kwahiyo naomba tusiwadharau wachaga

Hawajui mapenzi. Kazi kupiga kelele tu na kusema "Yesu Maria" hehehe. Labda ka mkeo ulimfundisha au alijifinza kwa wajanja. Kuhusu mali mtu asikudanganye, akili ya mwanamke wa kichaga si kama ya mwanamke wa kigogo, wachaga kurudisha heshima nyumbani kwao ni lazima, ukionekana unazuia lazima akuue, ila ukiwa laini kukubaliana na vitu kama kujenga n.k kwao utapeta, otherwise be prepared bro
 
kwa asilimia 90 wachaga wanajua kutunza ndoa na familia kwa ujumla.Hakuna kuuza sura....
Wachaga na maendeleo oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Miaka mitano huwezi kutoa any sensible analysis/conclusion. Ngoja upate mali ya kutosha then from there utaongea tutakusikia. Sasa hivi wewe bado nadhani hujawa na hela ya kutakata!
 
miaka 5, unataka utoe dhana iliyojengeka kabla hujazaliwa.....!
 
kwa asilimia 90 wachaga wanajua kutunza ndoa na familia kwa ujumla.Hakuna kuuza sura....
Wachaga na maendeleo oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

nakubaliana na wewe
 
Hawajui mapenzi. Kazi kupiga kelele tu na kusema "Yesu Maria" hehehe. Labda ka mkeo ulimfundisha au alijifinza kwa wajanja. Kuhusu mali mtu asikudanganye, akili ya mwanamke wa kichaga si kama ya mwanamke wa kigogo, wachaga kurudisha heshima nyumbani kwao ni lazima, ukionekana unazuia lazima akuue, ila ukiwa laini kukubaliana na vitu kama kujenga n.k kwao utapeta, otherwise be prepared bro

hater.png

MTUACHE MIAKA 100....KILA SIKU WACHAGA WACHAGA HAMCHOKI
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom