Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,091
- Thread starter
-
- #161
Wakinga hata wafanye biashara nenda kwao bado wanahamasishana kuhusu lishe na Udumavu.Wachaga walishakuwa mbele ya muda sana kuzidi karibu makabila yote ya Afrika mashariki, kati na kusini. Kuanzia Machame, Marangu hadi Rombo ni maendeleo matupu. Ingawa kwa sasa wanapelekewa moto kibiashara na wakinga ila wachaga kimaendeleo ni habari nyingine. Hakuna kabila linalowasogelea.
Ujasusi gani kiongozi?Barmaid ni kazi ya daraja la chini sana man.Hakuna ujasusi wala nini ni uwezo mdogo wa akili tuKama ndio ujasus wenyewe je.
Mbona kazi zote ulizozitaja ni za hela?Ki
Kiazi mamako we bwege, kazi mnayoweza umachinga, kuuza bar, kuchoma nyama na chipsi, kukaanga kitimoto, kupika supu, umeona wanaume wa makabila dume wakifanya hizo kazi?
Ni wateule wa wizi labdaHawa wachaga ambao ni wahudumu wa bar huku kwetu Bariadi watoto wakisukuma wanaruka nao kila siku wakitoka na pesa zao maduarani ndio unasema wana IQ ya ngapi kiongozi?
Ila kukosa vyoo ni umasikini sana hebu jitahidiniKuwa na maghorofa sio sababu ya kukosa maskini
Hapawezi kuzuka, karibu jamii zote zinamwingiliano wa kidamu kwa sasa , wala wachaga sio watu wasifa.Imagine nchi ina makabila mengi mno...
Je pangekua na Wachaga wahaya labda na Wagogo kwa misifa hii si pangezuka Genocide
Hamna kitu ukienda sehemu zote zenye migodi wamejazana bar wanatia huruma kweli.Ni wateule wa wizi labda
Makabila mengine tumeletewa yatusaidie, tungepata wapi vibarua na wateja wa bidhaa zetu ndogo ndogoImagine nchi ina makabila mengi mno...
Je pangekua na Wachaga wahaya labda na Wagogo kwa misifa hii si pangezuka Genocide
Wap tujitahidi?Ila kukosa vyoo ni umasikini sana hebu jitahidini
Huko kwenu mnapotoka kwani hujaona ripoti ya sensa ya wilaya yako?Wap tujitahidi?
Kabila lako wewe utadhubutu hata kulitaja hapaHamna kitu ukienda sehemu zote zenye migodi wamejazana bar wanatia huruma kweli.
Unasifia wachaga kwa kubagaza makabila mengine? Nikajua unasifia tu 🤔 kumbe nawe kiazi tu🚮Makabila mengine tumeletewa yatusaidie, tungepata wapi vibarua na wateja wa bidhaa zetu ndogo ndogo
Wilaya yangu ni ipi na yako ni ipi? Tuanzie hapo kwanza?Huko kwenu mnapotoka kwani hujaona ripoti ya sensa ya wilaya yako?
Hebu tafuta gazeti lililoandikwa wezi au wahalifu wamehukumiwa unionyeshe mchaga halafu na wewe taja kabila lako nikuonyeshe kesi zenu magazetini za ubakaji, ulawiti,Ni wateule wa wizi labda
Natoka Wilaya ya MoshiWilaya yangu ni ipi na yako ni ipi? Tuanzie hapo kwanza?