Wachaga ni Taifa Teule

Status
Not open for further replies.
Kwanini binti wa Kisukuma asitoe hicho kitumbua akazichukua yeye?
Kwahiyo hii ndio unaita exposure.Ulaya ulienda kufanya nini kama akili ndio za hivi.Unajua kufanya umalaya ni unethical and immoral?(bado unatetea kwamba watu waendelee kupata pesa in a primitive way,kweli we mchaga).

Kuhusu exposure sihitaji kuparade taarifa zangu hapa lakini kama ndio akili zako hizi basi una safari ndefu
 
Tutarudi pale pale kwamba wewe hujawahi kutoka huijui Dunia. Sasa kwakuwa ni mshamba na kwakuwa unaenda bar zako za kishamba unadhani Waitress ni kazi ya kudhalilisha.
Ungekuwa umeishi nchi za Magharibi ya Dunia ungejua hata watoto wa matajiri wanaposoma wanafanya hizo kazi.
Sasa wewe dada zako wanajiuza Telgram wakiwa nyumbani kwa IQ zao za 60 lakini Wachaga wanatoka na IQ120 wanafanya kazi wanaomba business card wanafanya interview na wanaajiriwa
 
Ndio maana hata vyama vyao chadema,nccr na tlp vitaendelea kusugua benchi.

Wasukuma achaneni na hivyo vyama ni heri ukawa neutral, ukanda ni mwingi sana na ndio maana wanateseka
 
Nchi gani ya magharibi umekaa we jamaa.Yani nyie ndio mnasema wazungu wote wana akili.Nimekaa Malibu miezi sita nikafanya kazi Fochville miaka miwili.Huu utumbo unamuandikia nani hapa?Kazi ya waiter au waitress ni kazi ya walioshindwa kafie mbali huko
 
Wengine mlikusanywa kama Kondoo kwenye operation vijiji. Umewahi kusikia kijiji cha Ujamaa Uchagani?


Hawa watakuwa walikuwa wanaidanganya serikali ili tu wapate ardhi kupitia operesheni vijiji ambayo kwa mujibu wako haikuwahi kufanyika huko uchagani...

Ndio maana wachaga wanapuuzwa kwa ujuaji usio na maana
 


Uchagani Kuna maghorofa mengi sana na lami kila uchouchoro. Dini zimelala hakuna Imani za hovyo kama sehemu zingine.
 
Kama ulikaa Malibu kule zaidi ya usafi na ulinzi ungefanya kazi gani tena wewe? Na kama ulikaa Malibu usingeweza kabisa mtu kuwa Barmaid katika kutafuta nafasi.
Hivi kwanza kijijini kwenu mmemaliza kihamasishana kuwa na vyoo? Maana tunaweza kuwa tunabishana hapa wakati kwenu bado Mpoto anawapitia na kampeni ya Nyumba ni Choo
 
Soma Kitabu cha Nyerere Building Ujamaa Village in Tanzania ameeleza kila kitu
Uhalisia umeuona lakini? Wananchi wanazungumza uhalisia yani hali halisi ilivyo wewe unazungumzia masimulizi ya vitabu ambayo Kuna editing za kutosha.

Labda unajua maana ya operesheni vijiji? Huko kwenu labda hakuna vijiji mpaka sasa? Na kama vipo vilianzishwaje? Kama hakuna vijiji hao watendaji vijiji Wanahudumu KDC katika kijiji mama?
 
Wachaga walishakuwa mbele ya muda sana kuzidi karibu makabila yote ya Afrika mashariki, kati na kusini. Kuanzia Machame, Marangu hadi Rombo ni maendeleo matupu. Ingawa kwa sasa wanapelekewa moto kibiashara na wakinga ila wachaga kimaendeleo ni habari nyingine. Hakuna kabila linalowasogelea.
 
Samia Oyeeeee...
 
Ndio maana hata vyama vyao chadema,nccr na tlp vitaendelea kusugua benchi.

Wasukuma achaneni na hivyo vyama ni heri ukawa neutral, ukanda ni mwingi sana na ndio maana wanateseka
Vipi vya Kisukuma UDP na kile cha Shibuda vinaendeleaje
 
Wachaga maendeleo yao yamepatikana na yanapatikana sio kwenye biashara tu, kama wakinga .
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…