Huo ndio uthubutu wenyewe sasa wako kila mahali wakati dada zenu huko mnawaza kuwaozesha wakiwa Primary.Hawa wachaga ambao ni wahudumu wa bar huku kwetu Bariadi watoto wakisukuma wanaruka nao kila siku wakitoka na pesa zao maduarani ndio unasema wana IQ ya ngapi kiongozi?
Wewe haupendi hizo pesa.?Jamaa kisa wameguswa ndugu zako umekuja mbio kuwalinda.Tulia man sijasema wachaga ni hamnazo sema jamaa kawapa sifa nyingi ambazo hamna labda angesema mnapenda pesa ningekubali maana kuna dada yako nilimpromise laki hapa kila siku ni simu utadhani ni deni(hovyo kabisa)
Na hata Wachaga popote walipo hawasahau mila na desturi. Hakuna mtu amewahi kuwa na urafiki na mchaga akajutaMkuu umesahau huenda ulitaka kutuambia Wachaga ni Wapalestina (Wamachame)!
Wayahudi hawaendi kutambikia mizimu kila mwisho wa mwaka!
Wayahudi ko kote waliko duniani hawasahau mila na desturi kwa mjibu wa Kitabu chao cha Torati,(Malaki4:4)
Dada zangu wako Brentwood wanakula maisha huo ujasiri wakusema waozeshwe unatokea wapi kiongozi?Ukitaja watu wa kwanza kupata elimu in formal way ukiacha kutaja kabila langu unakuwa unakosea.Bariadi nalima tu mpunga kaka sio kwetu(Sema dada zenu wanapata shida huku wachimbaji wakipata pesa)Huo ndio uthubutu wenyewe sasa wako kila mahali wakati dada zenu huko mnawaza kuwaozesha wakiwa Primary.
Utakuwa hujawajua Wachaga vizuri wewe hawajawahi kukaa kikao lakini wote wana maono ya kufanana.Wachaga bado sana sio kwa kushindanishwa Ila kwa umaana ....hoja yako imejijenga kwenye ushindani na ubinafsi .....inakuwaje hamna deep-state yakichaga .....utajiri wakichaga hauna muendelezo
Ndio maana nalima mpunga huku Bariadi sema dada zako wanapenda za kupewa(wachimbaji wanawapitisha kipindi kigumu dada zako huku,mpaka kuna muda nikasema hawa wachaga kweli)Wewe haupendi hizo pesa.?
Hizo ni mila za Kichaga! Na kila kabila lina mila zake.Na hata Wachaga popote walipo hawasahau mila na desturi. Hakuna mtu amewahi kuwa na urafiki na mchaga akajuta
Dada zako una uhakika gani hawapitii kpindi kigumu ? Na umejuaje ni kipindi kigumu kwao kama na wewe haujawahi pitishwa?Ndio maana nalima mpunga huku Bariadi sema dada zako wanapenda za kupewa(wachimbaji wanawapitisha kipindi kigumu dada zako huku,mpaka kuna muda nikasema hawa wachaga kweli)
Dada zangu wako Brentwood kiongozi huko maduara hakuna.Nawaona nikienda kupata bia ya kizalendo(kilimanjaro).Wale madogo wa maduarani hawana akili kabisa kaka, yani wachaga wanashikwa makalio huku na madogo janja wa kisukuma mpaka unasema sio wachaga nyie(sema tu unajua ni wenyewe maana kiswahili chenu ni rahisi tu kuwajua)Dada zako una uhakika gani hawapitii kpindi kigumu ? Na umejuaje ni kipindi kigumu kwao kama na wewe haujawahi pitishwa?
Naona nikupeleke tu ignore list kabla ya kupigwa ban humuDada zangu wako Brentwood kiongozi huko maduara hakuna.Nawaona nikienda kupata bia ya kizalendo(kilimanjaro).Wale madogo wa maduarani hawana akili kabisa kaka, yani wachaga wanashikwa makalio huku na madogo janja wa kisukuma mpaka unasema sio wachaga nyie(sema tu unajua ni wenyewe maana kiswahili chenu ni rahisi tu kuwajua)
Kila la kheri hauna maana yoyote tuNaona nikupeleke tu ignore list kabla ya kupigwa ban humu
Mimi nimekaa Ulaya na nimeona watu wanafabya PhD za mathematics na jioni wanauza Bar.Nimeuliza IQ ya 120 mshenzi wewe.Mwenye IQ 120 unakuwa barmaid hiyo ni IQ au ni ujinga(rudi tena kutetea ndugu zako tena)
Mkapa hakujuta, Sumaye hakujuta wewe unajuta kwasababu ni fala hujitumi kimaendeleoHizo ni mila za Kichaga! Na kila kabila lina mila zake.
Loo! Waliooa wachaga wanajuta!