Wachaga na maendeleo-impressed


Polojo za namna hii hazitoifikisha nchi popote mangi MEKU
 
Mkuu kubaliana na hali halisi acha chuki nimekuambia kuna cha kujifunza toka kwa hawa jamaa amka nenda kaanzishe kabiashara kako kama wafanyavyo hawa wenzetu acha chuki za kijinga na kunywa kahawa vijuweni!
Nikichukia ndio naingiza pesa au? mi nimekwambia ninachokiona clearly and logiacally. Unajipendekeza kipunga.
 
Nikichukia ndio naingiza pesa au? mi nimekwambia ninachokiona clearly and logiacally. Unajipendekeza kipunga.

Nachokiona toka kwako ni kile nilichokitaadharisha kabla nadhani unachembechembe za wivu wa kike sio kosa lako!
 
Nachokiona toka kwako ni kile nilichokitaadharisha kabla nadhani unachembechembe za wivu wa kike sio kosa lako!
Nafuu wivu wa kike kuliko upunga unaofanya hapo.., una mme wa kichagga nini..?, stupid!
Ukinijibu tu basi jibu ni ndio.., ukikaa kimya we punga.
 
Nafuu wivu wa kike kuliko upunga unaofanya hapo.., una mme wa kichagga nini.., stupid!

Yani pilau utalijua tu huwa linaharufu yake flani bila hata chembe na mashaka yoyote wewe ni P kwa ng'O samahani lakini najuwa nitakuwa nimefungulia povu ila nalikaribisha Joooo!
 
Nafuu wivu wa kike kuliko upunga unaofanya hapo.., una mme wa kichagga nini..?, stupid!
Ukinijibu tu basi jibu ni ndio.., ukikaa kimya we punga.

umemkomesha, aache sifa za kijinga. anaanza mambo ya ukabila karne ya 21 na nusu asaiv.
 
umemkomesha, aache sifa za kijinga. anaanza mambo ya ukabila karne ya 21 na nusu asaiv.

Wanapotamka na kuupalilia ukabila Ccm huwa hamsikii wala kuona ila mtu akilisifu kabila flani ni ukabila acheni ujinga badilikeni
Toka lini kulisifu kabila kwa kitu kizuri au kwa jitiada zao ikawa ukabila?au mnaunga tu hoja mkono hata kama ni za kipuuzi!
 
Yani pilau utalijua tu huwa linaharufu yake flani bila hata chembe na mashaka yoyote wewe ni P kwa ng'O samahani lakini najuwa nitakuwa nimefungulia povu ila nalikaribisha Joooo!

Acheni ubishi wa kijinga nawapeni mtihani atakaeenda huko uchagani mwezi huu naomba aje na mrejesho hapa wa picha angalao muwatoe wenzenu tongotongo sio wote wenye uwezo wa kwenda kujionea jinsi kulivyo nadhani wataenjoy kuliko maelezo mliopo huko mtupe mirejesho.
 
haukuwa ubishi, ni kujipendekeza kibwabwajiko tu.
 
Madaktari bingwa na wa kawaida wachaga wanachukuwa asilimia kubwa sana. Hata ukiangalia Muhimbili mabingwa wengi ni wao. Shikamooni
 

Watembelee Kirua vunjo kila baada ya nyumba kumi kuna Professor! Hii huenda ikaingia kwenye kumbukumbu za dunia
 
nilibahatika mwezi uliopita kutembelea kilimanjaro yote..kikazi nilikua katika ukaguzi wa vituo vya BRAC
ki ukweli kama mikoa mingine michache, wachaga wapo very patriot when it comes to developments..
vijijini kutoka machme mpaka masama ujenzi wa barabara, nilihangaika kupata hoteli, maana kila mtu anakwake, hoteli alale nani??:sick:
 
Jamani penye ukweli na usemwe tu tusipende kuwa na chuki zisizo na maana wachagga kama makabila mengine wapo juu na makabila mengine waige karibuni Moshi na Arusha huku muone.

ukiniuliza tofauti ya mjini na kijijini Moshi ni ngumu sana kuipata watu wanafurahia maisha tuwapo mjini hata ukifikiria kwenda nyumbani hauumwi kichwa zaidi unakuwa addictive exciting :glasses-nerdy:
 

Aikambe Masanja
 
Last edited by a moderator:
Woi wewe ulienda marangu tu arawa ?ungeenda machame ndo ungejua kwl wachaga tuko vzr. hizo nyumba zilivyoangushwa huo mpangilio yaan siwez kuelezea ni mtu ukajionee mwenyewe tunakumbuka nyumbani,tunatafuta pesa,
tunawatunza Wazee vzr kwahiyo siri ni ile baraka ya amri kuu za Mungu waheshimu baba yako na mama yako upate miaka mingi na heri duniani..sifa nyingine ni nadra mchaga kukataa mtt kabisa hiyo haipo laana hiyo pia inaepukwa...Mimi kwetu Uru shimbwe..aisee hali ya hewa na hiyo miti ni kama kumefungwa Ac..mpangilio wa nyumba usiseme!! siyo nyumba ni nyumba za kisasa n kama wanashindana Hiv maji n mengi balaaa ..ila nakir machame wametushinda kwa kila kitu machame kunatisha kwa uzuri unaweza ukahis hauko bongo siwez kuacha kuifikir machame kwa uzur wake ila wanawake Wa kimachame ogopa wanabaguliwa kuolewa hata na wachaga wenzao, wana mapenzi ya kihind cjui tuseme kitanga ila kama wachaga wenzao wanawaogopa ina maana(…...….…........)asikiaye na afahamu usiseme hukuambiwa zile rumors unazosikia zina ukwl ndan!! Ote chi owenyi ngaamba foo arawa wandu wakeamba Hahaaahahaaa leka chirie kitochi kimu mbele
aika MBE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…