Wachaga na maendeleo-impressed


Wewe unaifahamu vizuri historia ya Wachagga!!

Hongera.
 
Karibu sanaaa moshi njoo na huku boma mbuzi huku moshi mjini ujionee kulivyo kusafi...
 
Ukifka rombo ndio utashangaa zaidi,wkt wanajenga shule za kata zinapasukapasuka kabla ya mwaka,rombo shule zakata zimejengwa magorofa,by the way in tz is only sehemu kuna vijiji vyenye bank,na university!
 
Ukifka rombo ndio utashangaa zaidi,wkt wanajenga shule za kata zinapasukapasuka kabla ya mwaka,rombo shule zakata zimejengwa magorofa,by the way in tz is only sehemu kuna vijiji vyenye bank,na university!

Kwani kile cha Masoka sijui nacho ni chuo kikuu mbona kipo moshi rural - kibosho...

Sio Rombo tu.
 
Kuna ukweli. Uchagani kuna maendeleo makubwa. Chukua mfano wa Moshi stand tu, ukikutwa hata unatupa karatasi ya vocha unapigwa faini ya tsh 50,000/=
 
Orait orait.........so.......mpaka sasa mpo wangapi mnaokuja kututembelea........?
 

Umeoa kama Bado

Oa marangu hukohuko kwingine Chaka utawachia urithi kabla Mungu ajapenda
 
Swala la kumpinga mchaga kwenye maendeleo ya nchi hii ni sawa sawa na kuwa mpinga kristo au wale waliopingana na mtume.
Nayasema haya bila woga hata chembe ya uoga maana nimekaa na kutafakari nikagundua hili kabila ni shida na wanasihili sifa kwenye taifa hili.
Nimeanza kuwafikiria kwenye siasa toka vugu vugu la vyama vingi kuanza miaka ya tisini na mbili wachaga ndio wamekuwa msitari wa mbele kuibana na kuinyima serekali ya ccm usingizi "mfano"Agustino Mrema Freeman Mbowe James Mbatia na wengine wengi.
Ukirudi kwenye muziki hawa jamaa wapo pia "mfano"Mr nice Mh.Temba Barnaba na wengine wengi mtanisaidia.Bongo movie Jack wolper Lulu n.k.
Biashara ndio kabisaaa....ndio himaya yao yupo mzee Mengi Mrema wa Presision Air na mabilionea wengine mtanisaidi kwenye sekta ya Elimu ndio wapo wengi hawana hesabu na wanaongoza kwa kuwa na Maprofesa wengi hope kuliko kabila jingine lolote.
Bila kusahau hata JF mwanzilishi wake ni mangi anajulikana kwa jina la Mushi najuwa wapo wengi na kina Max ila nasikia wazo lilikuwa la Mushi
Kwa mtiririko huu mdogo sina budi kusema shikamooooni wachaga na ipo haja kubwa ya kujifunza kutoka kwa hawa watu ili nasi tufikie walipo kuliko kuendelea kuwabeza kila siku.
Narudia tena na tena SHIKAMOONI kina mangi wote nyie ni kioo kwa jamii yetu ya Watanzania.
Asanteni!
 
Kwani hawa si waTanzania kama mimi na wewe..??! hivyo hata mimi marhaba, acha kujipendekeza kipunga.
 
Kwani hawa si waTanzania kama mimi na wewe..??! hivyo hata mimi marhaba, acha kujipendekeza kipunga.

Mkuu kubaliana na hali halisi acha chuki nimekuambia kuna cha kujifunza toka kwa hawa jamaa amka nenda kaanzishe kabiashara kako kama wafanyavyo hawa wenzetu acha chuki za kijinga na kunywa kahawa vijuweni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…