Wachaga na maendeleo-impressed


kingine kinachowarudisha nyuma wasukuma ni wivu, chuki na roho ya kwanini sana! Hutaki mwenzako aendeleee.
 
Bila upendeleo wachaga wapo vizuri tizama biashara zao kaka akifanikiwa bac atavuta jamaa wajomba mpaka majirani hawana wivu hawaibiani na mwisho wa mwaka kila aliye vutwa mjini lazima ajieleze saving ipo wapi na mpango wa badae ni nini tofauti na makabila mengine akitoka kimaisha bac anataka akirudi kijijni abudiwee yeye tuu na hataki fungua milango kwa ndugu wengime asije pitwa au kijiji kikawa na wafalme wawili big up chaga pipo
 
kuna jamaa aliulizwa...

"samahani kaka... wewe ni mchaga?"

Akajibu.

"Dah! kwa kweli SIJABAHATIKA".

****Proud to be a chagga******

Dah... Nimekupa like ila acha nikomenti pia. Kila nikisoma nacheka... Eti 'sijabahatika'.......
 

Acha kuongeza chumvi mbona kuna maeneo mengi yapo hivyo hapa tz? kanda ya ziwa unatokea kijiji gani? au ndo wa huko umekuja kujifagilia hapa kupitia mgongo wa kanda ya ziwa? mi mwenyewe mke wangu anatokea hai ila huwa sina tabia ya kujikweza hivyo!
 
Marangu cha mtoto. Pita Uru, Kibosho Machame uone mambo. Huwezi kulinganisha Kil. na Morogoro kwa mfano.
 
kuna jamaa aliulizwa...

"samahani kaka... wewe ni mchaga?"

Akajibu.

"Dah! kwa kweli SIJABAHATIKA".

****Proud to be a chagga******

Hahahahah we mtu huna adabu kabisa. Huwezi nichekesha namna hii mbele za watu...

Dah!!!
 
Acha kuongeza chumvi mbona kuna maeneo mengi yapo hivyo hapa tz? kanda ya ziwa unatokea kijiji gani? au ndo wa huko umekuja kujifagilia hapa kupitia mgongo wa kanda ya ziwa? mi mwenyewe mke wangu anatokea hai ila huwa sina tabia ya kujikweza hivyo!

Roho mbaya haina posho.

Kama kuna sehemu unayoijua ni nzuri, tuambie na sisi tujifunze toka kwao.
 
Karibu tena
 

Attachments

  • 1404128011014.jpg
    19.4 KB · Views: 222
ndugu ulichoandika ni kweli tupu,ila ni kwa uchache sana.
*chagga land ilipaswa kuwa mbali zaidi ya hapo ulipopaona
* miaka ya 1800 mwishoni kulikuwa na gazeti la kila wiki liliitwa komkyaa
*pia miaka hiyo kulikuwa na aina fulani ya chama cha ushirika...ambacho miaka ya 1934 kilikuja kuwa kncu ya mwanzo achana na hii ya (1984)iliyokaa kisanii.
*miaka hiyo hiyo ya 1800 mwishoni kulikuwa na nembo ya chagga ina akama ya mlima klm na chui anaruka juu yake.
*miaka hiyo ya 1800 kulikuwa na biblia ya kichagga
*pia vitabu vya nyimbo na makala mbali mbali zilikuwepo miaka hiyo karne 2 zilizopita.
*****kwa kifupi ndiyo waliobahatika kuelimika mwanzo........piga picha kwingine miaka hiyo kulikuwaje......halafu tufahamishe
 
Nenda tena na tena na tena utagundua mengi zaidi ambayo hukuyaona trip hiyo... believe me!
 
Roho mbaya haina posho.

Kama kuna sehemu unayoijua ni nzuri, tuambie na sisi tujifunze toka kwao.

Mkuu hebu waeleze..wanadhani hapa tuko kwenye ligi ya ushindani. Kama kuna mazuri na wewe ulikotembea please bring them here.
 
Marangu cha mtoto. Pita Uru, Kibosho Machame uone mambo. Huwezi kulinganisha Kil. na Morogoro kwa mfano.

Yaani mkuu hapo unasema hata Uru Kushumundu nayo iko vizuri? Haiwezekani!
 
Acha kuzalilisha watu mkuu,.

Kuna wenzako wengi sana hapa Jamvini wanatokea Kigoma usiwadhalilishe kiivyo.

lakini hata wewe una mkoa wako, kwanini usiusifie?

Acha chuki na roho mbaya za kijinga!

Kwa sisi ambao tumetembea sehemu nyingi hapa TZ Kigoma ni seheme mojawapo yenye maendeleo ambayo angalau yanaelekea ya uchagani.Mtu yeyote akifika maeneo kama ya Kalinzi au Manyovu au Kasulu ataelewa ni nini ninachokisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…