Sure,mimi nimchaga wa marangu na najivunia pongezi zinazotolewa,nilikuwa sijawahi kutembelea sehem nyingine za uchagani kama machame,kibosho na rombo,nilipopata bahati ya kwenda huko,niliona pia jinsi walivyoendelea na kuishi vyema kuliko nlivodhani,hakika machame central njia ya machame road kule juu wanastahili pongezi kwa utunzaji wa vyanzo vya maji na mandhari nzuri inayoizidi hata ya marangu,ni jambo la kuwaiga,vijana ni wachapa kazi paka inapendeza,hongereni sana,pia nimebahatika kewnda tarime,sikutegemea uzuri wa mazingira na usafi kuanzia unapoanzia mto mara mpaka sirari,watu wako serious na mambo yao na kuna maendeleo tangible,hongereni wadau wa huko na ongezeni bidii katika kujiletea maendeleo!