Wachaga Mungu anawaona

Ww huendagi kwenu? Ofcourse hakuna kabila ambalo halitambiki. Kuongea kwenye simu kwa muda mrefu si kama kuonana na mtu. Ni tofauti kabisa.
once again mkataa kwa mtumwa
Kusalimiana kwa teknolojia ya leo wala hakuhitaji safari. Hao wanaenda kutambika tu.
 
Ww huendagi kwenu? Ofcourse hakuna kabila ambalo halitambiki. Kuongea kwenye simu kwa muda mrefu si kama kuonana na mtu. Ni tofauti kabisa.
once again mkataa kwa mtumwa
Sasa ulikuwa unabisha nini nilipoteza wanakwenda kutambika. Mie nipo kwetu, unafikiri mie wakuja kama wewe?
 
Na bado,subirini wiki ijayo ndio mtajua sisi ni nani hata aje mtu mwenye wivu,asitupe hata unaibu waziri,hata teuzi yeyote sisi kwanza tunamcha Mungu lakini pia tunawekeza kwenye elimu tukiwacha wengine na chuki rohoni.

Njooni mjifunzr Moshi lakini pia mjipatie wake wenye akili za maishavna si vigodoro
 
Kusalimiana kwa teknolojia ya leo wala hakuhitaji safari. Hao wanaenda kutambika tu.
Wewe kwenu Naliendele uko hapatamaniki kwenda. Umeme vijijini hakuna, mnakunywa maji ya visimani, vyoo bora ni hakuna kwa nini usipachukie kwenu? Acha wivu njo ujifunze jinsi watu wa moshi wanavyoishi na kwanini wanapenda kwenda kwao ..pako juu sana hapachoshi..
 
Back
Top Bottom