donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hahahah, faru John nn mkuu?Tupo ila hujakamilisha mjomba. Mbona yale maji ya chupa hayapo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sorry mkuuHakuna kitu kibaya kama ' Kutamanishwa ' Nyama nono kama hiyo pichani halafu mfukoni hata nauli tu ya Kukuanzishia siku huna.
Mkuu January hii na Ada za watoto wewe acha tu.Hakuna kitu kibaya kama ' Kutamanishwa ' Nyama nono kama hiyo pichani halafu mfukoni hata nauli tu ya Kukuanzishia siku huna.
Hahaha,Mbona kama kichwa cha mamba?
MwehMkuu January hii na Ada za watoto wewe acha tu.
Mkuu si hata wewe umeonaeee?Hahaha,
Kweli unaweza hisiMkuu si hata wewe umeonaeee?
We Kula maswali ni Baada ya kushibaMbona kama kichwa cha mamba?
Yadondoshee kwa vyuma huenda vikalegea mkuuMate yananidondoka na vyuma vimekaza, Duh !!.
Haya jee yanafaa?Tupo ila hujakamilisha mjomba. Mbona yale maji ya chupa hayapo?
Ya babu wa Loliondo hayahusiki mkuu!Haya jee yanafaa?
Ni Yale mengine mekuYa babu wa Loliondo hayahusiki mkuu!