Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,133
- 3,401
Njoo hapa unyonya tupige kitimoto chomaKwa sasa tupo KB tunakunywa mbege kwa mama kisambi.
Njoo hapa unyonya tupige kitimoto chomaKwa sasa tupo KB tunakunywa mbege kwa mama kisambi.
Katumwa na shetani mvunja ndoa lazimaHuyu jamaa mchonganishi sana, sijua katumwa na maadui kutoka pande gani.
Mwehu sana huyu mleta uzi, sijui kanywa wanzuki sijui.Achana na mleta uzi mkuu...me mwenyewe naona anataka kunichonganisha na mume wangu tu
Mwehu sana huyu mleta uzi, sijui kanywa wanzuki sijui.
Thubutu"Wanawake wa Rombo ni mama Huruma" !
Ngoja nikafanye mazoezi kwa vitendo.
Nani Malasway bablai?Malasway hujambo?...
Unabisha au ngoja nikuje PM.Thubutu