Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Nafikiri ni utofauti wa majina tu, hiyo mwenga sisi tunaiita ngera, na kitambua sisi tunaita kipfuo.Naskiaga ngera tuu ila sijaweza itofautisha. Ila mwenga ndo najua pombe ilolala.ktambua ni ile ta mwanzo kabisa inayowekwa ulezi ulopikwa. Inakua tamuuu