Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kaka ukishalewa hutonielewa hahahahahahahahahah
Niko makini sana mshiki, mbege inanipaga tu adhabu ya kwenda kupunguza maji kila mara tu, nahisi mbege inayoweza nilewesha labda iwe imechanganywa na bapa na ugoro.