Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,407
- 27,079
- Thread starter
- #21
Mabasi ya moja kwa moja kuja huko, hakuna kulala hesabu zinahitajika.Katoro-Geita..... is loading...
Mabasi ya moja kwa moja kuja huko, hakuna kulala hesabu zinahitajika.Katoro-Geita..... is loading...
Hawajawahi fanya hizo mbanga, kwanza ni vyasaka, watu wa kanda zingine ndio walifanya hayo mambo, zingatia waliokuwa wanaua albino ni mkoa gani au kanda gani!Wachaga walishachoka na utoaji kafara mereraniii ... somo liliwaingiaaa
Mkoa wowote mahali ambapo hapana mchagga jua pana changamotoo za kupata riziki
Nawaangaliaga tu...Kuna mmoja kitaani hapa alifilisika kwenye hio hio, yuko tu saivi kama hayupo sawa anacheka cheka tu na kuongea mwenyeweBiashara ya madini ya ajabu sana
Leo tajiri wa madini anamwaga pesa, baada ya miaka 20 kachoka
Hata wahindi na waarabu wana mitaji ila wanaiogopa hii biashara
Mkuu Grahams nashukuru kwa ushuhuda ila una uhakika hujakosea hesabu? sio mwaka 1965 ndo ulienda ubaruku.Ni sahihi, ila hao jamaa wamezidi
Mwaka 2009 nilipokwenda Ubaruku kule Mbarali, niliwakuta jamaa wakilima Mpunga na kuuza mchele
Nilipokwenda Mikoa ya Kusini niliwakuta wakilima korosho na kuuza
Kwenye dhahabu, nimekutana nao pia
Kwenye miwa kule Mtibwa na Kilombero wapo pia wakilima na kufanya biashara ya huduma
Napenda sana upambanaji wao
Japo kama ulivyosema makabila mengi yanapatikana kuliko na fursa, ila hao jamaa wako mbele zaidi
Kafara hizo, biashara hii na kafara ni pete na kidole.Nawaangaliaga tu...Kuna mmoja kitaani hapa alifilisika kwenye hio hio, yuko tu saivi kama hayupo sawa anacheka cheka tu na kuongea mwenyewe
Masai saiv waemejikita kwenye bodaboda 😀Mchagga anajua KUUZA BAR, KITIMOTO na MADUKA.
Umewahi kumuona Mchagga kwenye KAZI kama UVUVI, KILIMO na MADINI??
Kwasbaabu Wakoloni waliwapa elimu zamani, mkaitumia kupata NAFASI za serikali na kujipendelea, hizo zama zimekwisha.
Siku hizi mpaka MASAI amekwenda SHULE na anaijua PESA.
Uchimbaji wa sasa hivi umekuwa mgumu maradufu.Wataenda kuchimba hayo madini na meno ama mikono?
Juzi tu hapa mtu ANANIAMBIA kwa Sasa hata ukiwa na milioni 40 haitoshi kuanza biashara ya uchimbaji madini...
Labda angalau uwe broker
kama wapo wachaga mashoga sembuse kuwa bodaboda? Munawasifia sana wana akili zipi kuwazidi wengine? Tushafanya nao biashara na tukawakimbizaWachaga ni watu wajanja, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.
Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.
Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?
Nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
Umepata wivu jamii fulani kusifiwa?kama wapo wachaga mashoga sembuse kuwa bodaboda? Munawasifia sana wana akili zipi kuwazidi wengine? Tushafanya nao biashara na tukawakimbiza
Hata sio wivu ila sifa zikipitiliza huwa ni chukizo....wachaga ni wachuuzi tu kama sisi wengineUmepata wivu jamii fulani kusifiwa?
Wametangulia dada zaoWachaga ni watu wajanja, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.
Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.
Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?
Nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
🤣🤣🤣Biashara ya madini haipatani na wezi
Hahaha umeongea kwa chuki na hali ya wivu mkubwa mkuu, mbona hata wewe unaweza sifia kabila lako tu , sioni ubayaHata sio wivu ila sifa zikipitiliza huwa ni chukizo....wachaga ni wachuuzi tu kama sisi wengine
Sawa mkuu yaishe....Hahaha umeongea kwa chuki na hali ya wivu mkubwa mkuu, mbona hata wewe unaweza sifia kabila lako tu , sioni ubaya
😅, sioni sababu ya mapovu , ila yameishaSawa mkuu yaishe....
Usitupangie cha kufanya. Nenda weweWachaga ni watu wajanja, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.
Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.
Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?
Nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
Mnama mbona umewaka bwashee 😅Usitupangie cha kufanya. Nenda wewe