Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,974
- 22,166
Nimepita vituo vya mabasi nkashangaa baadhi ya magari ya kwenda moshi
yakiondoka na siti empty nikaanza kuhisi wachaga wameanza kuondoa ukomo wa kwenda
kuhesabiwa kule moshi ama lah??
Kizuri nilichokiona na kukifurahia watanzania tumeanza kuondoa ujinga wa kwenda kununua tkt kwa wahuni wa barabarani wakiwa na vitabu hii imeniwiwa niwape bigup shemeji zanguni ingawa nimeanza maisha ya ubachelor leo baada ya kusafirisha vizazi vyangu.....naamini wako njiani kufika kiraracha
shukran za pekee ziwandee dar ex press waliokomaa na nauli zao kama kawaida na wengine wote ambao wameona ni heri wachaga wasio nauwezo nao wapate muda wa kuhesabiwa
baada ya yote nawatakia heri na fanaka shemeji zanguni wote na familia zenu mungu akipenda ntakuja uko kabla ya mwaka mpya natumaini mtaniweka kwenye list na hata nikishaulika basi msinisahau kwenye kale kaglaa cha kitochi jamani