Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,364
..hii usikute ulikutokea@Bujibuji
Binadamu kwa kukopi na kupesti ni kiboko. Mliwaona mbwa, mkaiga style yao mkaita dog style. Sasa mnaona kobe wana magamba mnataka muwaige.
Ndio maana hamsikii utamu
live kama ilivyoumbwa...........!!,tunatimiza some of ibada
lakini si unajua me kivaa ganda sipati raha mwenzio,,,,,Bujibuji kisa katoswa anataka kuniharibia humu
mbona nyingine zina vidotidoti za kuongeza mkuno, au unataka raha ipi zaidi?
mbona nyingine zina vidotidoti za kuongeza mkuno, au unataka raha ipi zaidi?
weee...... mke wa mtu huyo!!LOL
Hapa hata sielewi elewi...
weee...... mke wa mtu huyo!!LOL
mmh nyama wa nyama ndo tamu........
nimemfanyaje kwani?
nina negative tu, utaenda kusafisha mwenyewe
teh teh teh umem seduce umemkonyeza konyeeeeeeeeee!!