hamna akili za kupimia.
kiranja mkuu, vipi koramu imetimia ili bajeti ipite? maana wabunge wengine wa magamba wako chako ni chenu wanapata mambo mida hii. ua ndo wanapigiwa cm waje waokoe jahazi? kanuni zasemaje mkuu? bunge jeupeeeeeeeee.wabunge wote wa upinzani yaani wa CUF, CDM, TLP ,NCCR wametoka bungeni kupinga kitendo cha spika kukataa kuahirisha bunge kwa dharura ili kuweza kutoa nafasi kwa serikali kuchukua hatua dhidi ya meli inayozama Znz.
Alitoa hoja Hamad Rashid kuwa Bunge lipitishe bajeti kabla ya mawaziri kuhitimisha ili kutoa nafasi kwa wabunge kufuatilia na kuweza kusafiri. Spika akamjibu kuwa hoja hiyo ingefaa kama maafa yametokea karibu na Bunge kama Chamwino etc ili wabunge waende wakatoe damu .
Hali ni mbaya , Bunge linapitisha bajeti kwa suala gani?
....wanaweza. Asipowazingua, mtajuaje kama anaweza na ana mamlaka?????.
Tatizo wabunge wengi wameenda mjengoni kwa kutumia mbinu chafu ili waweze kuendeleza mambo yao bila bughudha toka mkono wa sheria. Mtu hawezi hata kubuni namna ya kumsaidia mpiga kura zaidi ya kumpa elfu moja hadi elfu kumi, itamsaidia nini mtu karne hii ya 21 kama siyo tusi? Nasema tena wabunge wengi 80% wapo mjengoni lakini hawajui hata nini wanatakiwa kufanya majimboni mwao zaidi ya kuwanunulia pombe huku wakidhani ndo kuwatumikia wananchi wakati ndiyo kuwatia umaskini zaidi.Huyu mama ni janga la kimataifa, anaendesha bunge kama shirika lake la misaada..sijui kama tutafika kwa mwendo huu, na wabunge wanamchekea sana huyu mama, na hawa wabunge wa vyama vingine watambue kuwa CHADEMA na wabunge wake wanapokuwa wanapigania haki pale bungeni uwa hawafanyi utani yule mama ni tatizo.