Yote ni sera mbovu ya ccm.
ni wabinafsi sana na nashangaa hata aibu hawana , kweli devil is devil.
kwan huyo lema alisema posho iongezwe?Mkuu, ina maana hata Lema ni ccm?
sio ccm tu hata chadema tena kwa hili naichukia chadema kuliko hata ccm, waliahid kupinga matumiz mabaya ya fedha za umma lkn kilichofuata n balaa; hata ZZK ameonesha msimamo kusimamia ahad za chama ndo huyo kachukiwa na kila mtu ndan ya chama kwa kuonekana mwiba kwao hasa lemaYote ni sera mbovu ya ccm.
lema anatetea posho ya kukaa bungen kwan analipwa mshahara wa nn? ama na mwl adai posho ya kuingia kila kipindi darasan? hakuna cha chadema wala ccm issue n kutetea mgombea binafsikwan huyo lema alisema posho iongezwe?
sio ccm tu hata chadema tena kwa hili naichukia chadema kuliko hata ccm, waliahid kupinga matumiz mabaya ya fedha za umma lkn kilichofuata n balaa; hata ZZK ameonesha msimamo kusimamia ahad za chama ndo huyo kachukiwa na kila mtu ndan ya chama kwa kuonekana mwiba kwao hasa lema
lema anatetea posho ya kukaa bungen kwan analipwa mshahara wa nn? ama na mwl adai posho ya kuingia kila kipindi darasan? hakuna cha chadema wala ccm issue n kutetea mgombea binafsi

Kauli hiyo imenifanye nikose hata hamu ya kuangalia au kufuatilia hili Bunge kwani ni ufisadi mtupu hakuna cha maana kitakachojadiliwa
Ujumbe kwao kwa hilo tutawasuta sana tu.