Wabunge 'Wenye Nidhamu'

Wabunge 'Wenye Nidhamu'

Wabunge wa namna hii

1. Kamwe hawawezi kuwa na matatizo na spika.

2. Hawawezi kuitishiwa kikao cha kamati ya nidhamu.

3. Wapiga kura wao hawana shida na nini wanafanya bungeni

Hawapingi juhudi za maendeleo ambao serikali yetu sikivu inafanya.





8.jpg




wasira%2Bchapa%2Busingizi.jpg

nikiona picha ya hizi njemba huwa nacheka hadi mbavu zinauma. duh.....CCM OYEE

Mmetuewekea majembe kwelikweli bungeni
 
Sio ajabu kama unavyofikiria. Unaweza kutazama TV,ukasinzia bila kufahamu.[na ukaiacha TV inaendelea]. Unaweza kusoma,ghafla ukalala. It is caused by concentration on some difficult to understand thing.

Acha kutetea vitu vya ajabu mbani, nke umbaye mura.
 
Sio ajabu kama unavyofikiria. Unaweza kutazama TV,ukasinzia bila kufahamu.[na ukaiacha TV inaendelea]. Unaweza kusoma,ghafla ukalala. It is caused by concentration on some difficult to understand thing.
Ndio 'nidhamu' yenyewe. Unawezaje ku'concentrate' bila kuwa na 'nidhamu'?
 
Ivi ukilala ivo afu ukaachia ushuzi wanakuamsha au inabdi wauchune?
 
Point ya mchami nadhani iko clear kwa wengi.

Bunge letu limetoka katika mstari wake sahihi, ambao ni kuisimamia serikali, limeiruhusu serikali isimamie bunge, kwa kuweka spika anayeamrishwa na muhimili wa utawala.

Wabunge wote wanaoonekana wanaibana serikali, hao wanaambiwa hawana nidhamu.

Lakini wabunge wanaokosa kuhudhuria, wanaolala bungeni, wanaochelewa, wasiotoa mchango wowote kuisaidia serikali kuendesha shughuli zake, hao ndio wabunge wema. Hawa wanaishi kwa raha bungeni, na posho zao zina uhakika.

Hao hawatasomewa kanuni kamwe.

Hao hawataitishiwa kikao cha kamati ya nidhamu ya bunge.

Hao hawatasimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge.

Wananchi ni juu yetu kusema kama pesa yetu tunayokatwa kwenye kodi, inayotumika kuwalipa hawa wabunge mpaka wanakuwa tajiri kupindukia inatumika kihalali pale wabunge wetu wanapolala? Au kutoroka vikao? Au kuchelewa?

Asante mchami kwa kutuwekea tafakari, ambayo umeiweka kwa namna ya mzaha, lakini inazungumza kitu cha msingi.
Umenipata vizuri mkuu.
 
kwa style hii watalogana sana ili tu wapate fursa ya kula kodi za watu bure then wakifika mjengoni wanasinzia kutokana na shibe waliyo nayo.Mwenye njaa hawezi kusinzia!
 
Ile inatokana kwamba you are trying to comprehend something which is difficult to comprehend. Next thing you know,is that you have fallen alseep.
Ni kama madreva wanaposinzia wanapoendesha gari na kupata ajali.
Mimi kila siku,ninaposoma usiku,nahakikisha kwamba the door is locked,kwa sababu too many times I fall alseep while reading.
Hapa we are not talking about someone becoming drowsy and succumbing to sleep. This is somebody sleeping and he does not know when it happenned and why it happenned.
Ndio psychologists wanaieleza kwamba it is this attempt to comprehend something.
Ama sivyo,how is it that you can just read a book and then fall alseep. How can mental work make you tired? Ni watu wanaosukuma mkokotoeni tu ndio wanaopaswa kuchoka.
 
Kuwa mbunge wa ccm ni raha sana, unakula posho bila jasho. Halafu sijui maendeleo ya nchi yataletwa na nani. Wakati wao wamelaa wapinzani wako macho kuhakikisha hakuna jambo linalopitishwa kiholela, halafu wanaitwa vinara wa fujo.

Wakati wa kampeni utasikia CCM wanawaambia wananchi: mkakati wetu ni kurudisha viti vilivyoenda kwa wapinzani.

Wananchi wameanza kuona. Bila kuweka mtu anayewawakilisha uwakilishi uliotukuka, watu hawadanganyiki!!!

By the way, ningependa kusikia comment kutoka kwa watu ambao waliwapigia kura hawa waheshimiwa waliopo hapa.
 
kipi bora uvute bangi na unywe pombe uwe aktivu na kuweza kuisimamami serekali bungeni na kuwawakilisha wananchi wako au usinywe na kuvuta ulalale bungeni?
 
Hii ndo bongo bana, lolote waweza fanya popote kama una nafasi ya kufanya hivyo bila kuulizwa

Wengine wanatoroka/hawahudhulii bunge kwenda kushuhulika na biashara ya madawa ya kulevya wakitumia diplomatic passport walizopewa kama kinga!! Hawa ndio wabunge wa chama cha kijani!! Wanajulikana lakini hawachukuliwi hatua kwavile 'mtoto wa mkulima' alikili kuwaogopa kuwa wakikamatwa nchi itayumba ingawa Taifa linateketezwa!!
 
Haha ha haa, walikeshea wapiiii.

Alafu ikifika ile ya nawahoji, wote watasema ndiyoooooo kwa kitu ambacho hawajakisikia hata.

Long way to go

hao ni wateja wazuri wa pale chako ni chako mpaka liamba.. komoni mpka busheee sakai iiiihh sakai
 
Back
Top Bottom