Wabunge 'Wenye Nidhamu'

Wabunge 'Wenye Nidhamu'

Yani kama mtu halali bungeni anaonekana hana nidhamu? Dah! haya sasa cdm mkitaka kuonekana mna nidhamu muanze kulala na kuto changia na kila kitu mseme ndiyooo hapa mtasalimika
 
Huyu inawezekana alikuwa anaimba usiku

8.jpg

Lakini utaona threads za kuwaandama akina Mnyika ndizo zinafunguliwa, eti hajajenga barabara, japo wanaona anavyozimwa na mawaziri na spika.

Mnawaonea Bure wazee wa watu! Niambie kati ya hao nani ana miaka chini ya 40? Tatizo hapa ni uzee, watu wamechoka. Wamechoka kwa uzee lakini nasikia wanapiga mikasi kwa kasi pia wanashutumiana kwa kupiga misuba; kwa umri wao unategemea nini? Tano bora lazima!
 
2015 watakwenda kugawa kanga,kapelo, na hata wali na kisha kuwaimbia wananchh ccm nambari one! Masikini watanzania!
 
Huyu inawezekana alikuwa anaimba usiku

8.jpg

Lakini utaona threads za kuwaandama akina Mnyika ndizo zinafunguliwa, eti hajajenga barabara, japo wanaona anavyozimwa na mawaziri na spika.

Dah...! IYENA IYENA kastareeeehe, hapo akistuka tu lazima aanze na kugonga meza kisha anaunga mkono hoja
 
Wapunge wenye nidhamu kwa Magamba ni Nchemba,huyu mwenye matusi ya nguoni wa jimbo la Mtera,RANGE ADEN,na Mazuzu wote wa magamba .com
 
Sasa nimejua kwanini wabunge hawa wanapata heshima toka kwa Spika!!!!
 
Kuna mmoja hapo mpaka udenda unamtoka
 
Ila katika wote hao, pozi la Mr. 6 ndo limetulia. Ukimcheki vizuri huo mkono wake wa kulia unagonga meza. Kwa hiyo jamaa yuko makini, japo amejipumzisha lakini hasahau kugonga meza.
 
Sio ajabu kama unavyofikiria. Unaweza kutazama TV,ukasinzia bila kufahamu.[na ukaiacha TV inaendelea]. Unaweza kusoma,ghafla ukalala. It is caused by concentration on some difficult to understand thing.
 
Wasira peke yake hapo tayari ana picha mbili tofauti za misinzio. Inaonekana hao ndio wana concentration kubwa sana wakiwa bungeni kuliko wenzao.

Halafu, msinzio wa mtu ambaye alikuwa kwenye concentration fulani unaonekana tu. Ukiwatazama hao, hakuna cha concentration wala nini bali RELAXATION.
 
Watashtuka spika akiwa anahoji wanaounga hoja na wote wataitikia ndiyooooo
 
Mnawaonea Bure wazee wa watu! Niambie kati ya hao nani ana miaka chini ya 40? Tatizo hapa ni uzee, watu wamechoka. Wamechoka kwa uzee lakini nasikia wanapiga mikasi kwa kasi pia wanashutumiana kwa kupiga misuba; kwa umri wao unategemea nini? Tano bora lazima!
Kama wamechoka si wapumzike wawaachie wenye nguvu.
 
Back
Top Bottom