Things Fall ApartTunawatakia mafanikio mema huko waendako.. Nothing last forever
Jr
Hawa kinamama wameteseka sanaUfipa hali siyo shwari,nyumba inaungua moto hiyo.
Ufipa hali siyo shwari,nyumba inaungua moto hiyo.
Hayawi hayawi... Yamekuwa.Kuna taarifa kuwa Mbunge Sokombi na Maselle viti maalum CHADEMA wamehamia NCCR Mageuzi asubuhi hii Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo jema!Kuna taarifa kuwa Mbunge Sokombi na Maselle viti maalum CHADEMA wamehamia NCCR Mageuzi asubuhi hii Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameahidiwa majimbo 20Tunawatakia mafanikio mema huko waendako.. Nothing last forever
Jr
Huelewa kuna biashara inaendelea?!Kuna muda unashindwa elewa wapinzani wanataka nini, wamepewa madaraka ndio kwanza wamekua wa kwanza kuyakimbia na kuhama hama ovyo.
Upinzani kwa tanzania ni bado sana
It is never too late to begin. Start now
Tunawatakia safari njemaKuna taarifa kuwa Mbunge Sokombi na Maselle viti maalum CHADEMA wamehamia NCCR Mageuzi asubuhi hii Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app