YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,994
Mashule na vyuo huwa hawaruhusu simu darasani.Lengo likiwa kuwafanya wasome.Wa-concentrate kwenye kusoma.
Wabunge wapigwe marufuku kuingia na simu bungeni.Wasachiwe kuhakikisha hamna mwenye simu kabla ya kuingia ili kuwafanya wa-concentrate kwenye shughuli za bunge wakiwa bungeni badala ya wengine ku-chat kwenye watsapp na kuangalia movie kwenye simu wakiwa bungeni.