babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,326
mtoa mada unaelimu gani???
samahani lakini
samahani lakini
Nimeongelea simu sababu zinazuia mtu ku-concentrate.Hizo spy watch,spy pen na spy glass zako koko hazizuii concentration, zivae hata SPY SHANGA kiunoni ukitaka ninachoongelea ni Simu ambazo mtu badala ya kusikiliza anashinda kwenye simu
Hata majumbani na maofisini zimekuwa kero waweke hivyo vifaa.Mkuu ushauri wako mzuri mno.Uongozi wa bunge uzingatie hilo na misikiti,makanisa yote inabidi wauchukue huo ushauri.Simu zimekuwa kero hata nyumba za ibada pia.
Motive ya hoja yako ni muendelezo ya kutafuta namna ya kuhakikisha kuwa zile hoja zinazoibana serikali husiwepo uwezekano wa taarifa kifika kwa wananchi kwa wakati na kwa namna ileile jinsi jambo husika lilivyojadiliwa.Hapa hutaki hata clip zile zinazoonesha jinsi wabunge watakavyokuwa wanachangia hoja husika bungeni,ndio maana natangazo ya live yamezuiliwa na hata vyombo binafsi vimezuiliwa.Mashule na vyuo huwa hawaruhusu simu darasani.Lengo likiwa kuwafanya wasome.Wa-concentrate kwenye kusoma.
Wabunge wapigwe marufuku kuingia na simu bungeni.Wasachiwe kuhakikisha hamna mwenye simu kabla ya kuingia ili kuwafanya wa-concentrate kwenye shughuli za bunge wakiwa bungeni badala ya wengine ku-chat kwenye watsapp na kuangalia movie kwenye simu wakiwa bungeni.
Mashule na vyuo huwa hawaruhusu simu darasani.Lengo likiwa kuwafanya wasome.Wa-concentrate kwenye kusoma.
Wabunge wapigwe marufuku kuingia na simu bungeni.Wasachiwe kuhakikisha hamna mwenye simu kabla ya kuingia ili kuwafanya wa-concentrate kwenye shughuli za bunge wakiwa bungeni badala ya wengine ku-chat kwenye watsapp na kuangalia movie kwenye simu wakiwa bungeni.
Elimu,Elimu,Elimu wapi shule na bunge vinashabihianaMashule na vyuo huwa hawaruhusu simu darasani.Lengo likiwa kuwafanya wasome.Wa-concentrate kwenye kusoma.