assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Siasa za Bongo raha sana, mwanachama wa ACT yupo busy kupambana na vyama vyenzake pinzani na kama CDM na CUF wanaounda UKAWA. Lakini huyu mwanachama hapambani ili kuiwezesha ACT kushika dola kwa kupambana na chama kilichopo madarakani.
Kaelekeza akili yake kusnitch na kutunga uongo ulio na ukweli ili tuu kuwafurahisha akina fulani.
Mkuu fanya kazi, imarisha ACT yako, UKAWA achana nao mambo yao watamaliza wenyewe.
Mkuu umeongea ukweli mtupu, yaani act wamejisahau kabisa wapo busy kutetea ccm na kupambana na ukawa. Shame shameSiasa za Bongo raha sana, mwanachama wa ACT yupo busy kupambana na vyama vyenzake pinzani na kama CDM na CUF wanaounda UKAWA. Lakini huyu mwanachama hapambani ili kuiwezesha ACT kushika dola kwa kupambana na chama kilichopo madarakani.
Kaelekeza akili yake kusnitch na kutunga uongo ulio na ukweli ili tuu kuwafurahisha akina fulani.
Mkuu fanya kazi, imarisha ACT yako, UKAWA achana nao mambo yao watamaliza wenyewe.
Mkuu umeongea ukweli mtupu, yaani act wamejisahau kabisa wapo busy kutetea ccm na kupambana na ukawa. Shame shame
Taarifa nilizozipata zinadai kuna mvutano mkubwa ndani ya UKAWA kuhusu mstakabali wa UKAWA kwenye bunge la 11 ambalo liko mbioni kuanza Jumanne ijayo.
Taarifa inasema kuna kundi la viongozi na baadhi ya wabunge wa CHADEMA wanadai ni lazima wahudhurie kikao hiki ambacho wanadai ni muhimu kwa mstakabali wa Kambi ya Upinzani katika maisha ya bunge la 11 kwa sababu kinaenda kumchagua Spika, kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu na uchaguzi wa Naibu Spika.
Kundi lingine la wabunge na baadhi ya viongozi wa UKAWA hasa CUF wanadai kufanya hivyo watakuwa wana legitimise, legalise and justifying the outcome of General Election in Tanzania and Zanzibar. Hawawezi kuanza kuisimamia na kuishauri serikali ambayo wanadhani ni illegitimate and illegal.
Kuna baadhi ya viongozi na wabunge wengine hasa wa CHADEMA mpaka sasa hawana msimamo kamili kwa sababu wanafahamu kama watakataa kuitambua serikali ya Rais Magufuli ina maana hawataingia bungeni wakati Katiba ya nchi katika Ibara ya 71(1)(C) inasema Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake kama atakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika.
Kuna habari pia zinasema baadhi ya nchi za Magharibi zimeridhia Uchaguzi wa Zanzibar urudiwe tena. Uamuzi huu unawaweka UKAWA na hasa CUF katika wakati mgumu kutokana na msimamo wao.
Ama kweli, a matter of which you are ignorant is like a dark night!
Inahitaji uwe kama mjinga ili uzielewe vizuri siasa za vyama vya upinzani!
Yangu ni macho na masikio!
Kuna habari pia zinasema baadhi ya nchi za Magharibi zimeridhia Uchaguzi wa Zanzibar urudiwe tena
Safari hii hakuna ujinga atakaekosa vipindi vitatu nje, ndugai fanya kazi yako.
Ndugai afanye kazi kama nani?Safari hii hakuna ujinga atakaekosa vipindi vitatu nje, ndugai fanya kazi yako.
Taarifa nilizozipata zinadai kuna mvutano mkubwa ndani ya UKAWA kuhusu mstakabali wa UKAWA kwenye bunge la 11 ambalo liko mbioni kuanza Jumanne ijayo.
Taarifa inasema kuna kundi la viongozi na baadhi ya wabunge wa CHADEMA wanadai ni lazima wahudhurie kikao hiki ambacho wanadai ni muhimu kwa mstakabali wa Kambi ya Upinzani katika maisha ya bunge la 11 kwa sababu kinaenda kumchagua Spika, kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu na uchaguzi wa Naibu Spika.
Kundi lingine la wabunge na baadhi ya viongozi wa UKAWA hasa CUF wanadai kufanya hivyo watakuwa wana legitimise, legalise and justifying the outcome of General Election in Tanzania and Zanzibar. Hawawezi kuanza kuisimamia na kuishauri serikali ambayo wanadhani ni illegitimate and illegal.
Kuna baadhi ya viongozi na wabunge wengine hasa wa CHADEMA mpaka sasa hawana msimamo kamili kwa sababu wanafahamu kama watakataa kuitambua serikali ya Rais Magufuli ina maana hawataingia bungeni wakati Katiba ya nchi katika Ibara ya 71(1)(C) inasema Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake kama atakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika.
Kuna habari pia zinasema baadhi ya nchi za Magharibi zimeridhia Uchaguzi wa Zanzibar urudiwe tena. Uamuzi huu unawaweka UKAWA na hasa CUF katika wakati mgumu kutokana na msimamo wao.
Ama kweli, a matter of which you are ignorant is like a dark night!
Inahitaji uwe kama mjinga ili uzielewe vizuri siasa za vyama vya upinzani!
Yangu ni macho na masikio!
Mnaacha kujenga nchi mnaendeleza majungu ya kisiasa, hivi wewe mleta mada unafurahishwa na kinachotokea Zanzibar?.
mkuu ur mistaken, mm sina chama Bali napenda siasa safi na uzalendo
mkuu hakuna anaefurahia ila government newspaper imetangaza rasm uchaguz kurudiwa chama ambacho hakipendi kurudia sio lazma wengine watashiriki by the way kuna vyama nane