GIMME FIVE
Member
- Apr 30, 2013
- 16
- 1
Habari wana JF,Mimi huwa natatizika sana na hawa wabunge hasa wa CCM unakuta anatoka ktk sehemu zenye matatizo ni balaa, lakini badala ya kuwatetea wananchi waliowatuma wanatetea chama.USHAHURI WANGU MBUNGE ANAE UNGA HOJA 100% AKISHA UNGA OJA AKAE CHINI HAKUNA MAANA TENA YA KUENDELEA KUANZA KULALAMIKA WAKATI UMESHAKUBALIANA INAKUWA NI KUPOTEZA MUDA KWA WABUNGE MAKINI KUCHANGIA.Ni maoni yangu,NAWASILISHA.