Wabunge wameanza kuhaa au ni maandalizi ya mapema,ebu cheki hawa !

Bw.Ukoko

Member
Jun 26, 2009
26
0
Hivi sasa baadhi ya wabunge nchini wameanza vituko na kuafanya kila wawezalo ili kuona kama wanaweza kuchaguliwa tena.
Licha ya kuwepo wengi lakini yaliyoanza kufanywa na hawa
Balozi Khamisi Kagasheki na Mwanazila ni aibu kwao na CCM wenzangu mnaona ni sawa .ebu jionee
Kagasheki
Mwanazila
Sheria na taratibu za CCM zinaruhusu haya
 
Mkullo na yeye hatakiwi jimboni kwake, kuna DOGO anamchachafya mno kila kona mkullo anazomewa, mpaka sasa anang'ang'ania jimbo ligawanywe, mzee ana dharau sana yule hawaheshimu kabisa wapiga kura wake, sasa wamemgeuka, atajuta
 
Mie mbunge wetu alisema tutake tusitake ataingia mjengoni sijui ndo kwa kiburi cha chama ??
 
Back
Top Bottom