wapo wengi humu hata mimi ni mmoja wao,nikutajie wengine?ila shhhhhh husimwambie mtu,ha ha ha
Unakumbuka ile ya Kakobe kusema Mrema ndio chaguo la Mungu mwaka 2005 na akawataka wafuasi wake wampigie kura Mrema?
Tunashukuru mungu km hata yeye ni msomaji,
Siku zote anaenjoy mpaka aliposoma la kumkwaza,
Tunamkaribisha siku moja ajiunge!
Kwa hiyo hata Mtoto wa mkulima atakuwa yumo huku siyo.. Nataka nim- PM.Ukweli ni kwamba karibu viongozi wote wenye akili timamu wako humu ndani asiyekuwemo ni yule asiye na akili tyimamu tu maana kama we ni mwanasiasa makini lazima ujue nini kinajenga ama kubomoa mwanasiasa
Tunashukuru mungu km hata yeye ni msomaji,
Siku zote anaenjoy mpaka aliposoma la kumkwaza,
Tunamkaribisha siku moja ajiunge!
eti wanataka wamjue mmiliki wake,anawahusu nini,ila nashukuru hoja yenyewe haijashobokewa kiviile
Mimi sikuwahi kwenda lakini nilishuhudia mjadala wa baadhi ya waumini wake akiwemo mama yangu mdogo kuhusu hilo kwakuwa lilianzia huko kanisani kwao. Then siku alipopanda jukwaani pale urafiki tulionyeshwa kwenye tv aliposema maneno hayoTulisomaga hayo kwenye magazeti...
Sijui kama kuna member wa JF aliyewahi kuhudhuria mkutano wa Mrema kipindi hicho na kumnukuu Kakobe na maneno kuwa kuna chaguo la Mungu.. Nalo ni Mrema..
Ama ni matumizi ya lugha,yenye tafsiri tofauti tofauti aliyoitumia Kakobe.. Hili jibu lake analo ye mwenyewe...
NWY,tuendelee na mjadala..
Kinachowashinda ni kwamba jf haikuwa registered tz na hizo sheria zao za hovyo. Sijui kwanini politicians wa hapa kwetu hawapendi watu wawacriticise! Mi huwa nafikiri ukichukua hizo criticism ukazifanyia kazi zinaweza kukujenga zaidi badala ya kuchukia na kuziachaWATAKOMA, kwani mmiliki ndo anatoa maoni?? Sisi ndo wananchi bana, tutasema mwanzo mwisho.....!!
Kinachowashinda ni kwamba jf haikuwa registered tz na hizo sheria zao za hovyo. Sijui kwanini politicians wa hapa kwetu hawapendi watu wawacriticise! Mi huwa nafikiri ukichukua hizo criticism ukazifanyia kazi zinaweza kukujenga zaidi badala ya kuchukia na kuziacha