Wabunge wahoji fedha za Rambirambi Arusha kutumika kwenye matumizi ya serikali

Halafu Magu anapiga hela kwa remote control.Yeye hafikagi msibani lakini figisufigisu kama kawa!
 
Inshort ile migari na jeshi na wageni wote pale tulikodishiwa, ilibidi tulipie huduma Mkuu.
sasa MBNA serikali ilijigamba kuwa imegarimia msiba?
kumbe n uongo?
je serikali imefilisika namna hii hadi kitegrmea hela za rambirambi kushugulikia msiba?
 
Nakuunga mkono mkuu umeandika ukweli mimi sina imani tena serikali kwenye swala kukusanya michango ya maafa nitazipeleka mwenyewe kwa wahusika. Maafa yamekuwa ni mtaji wao.
Ukizipeleka kwa waathirika UTAPEWA LIFTI YA DIFENDA
 
Vyanzo vya kukusanyia mapato vinazidi kuongezeka , Baada ya askari wa barabarani sasa ni rambirambi za misiba na majanga.
 
Ndio zishaliwa sasa? Kwani nyinyi mnasemaje? Tushakula amueni mnachoamua? Wewe unafikiri yale magari yalikua yanatumia maji? Na ulitaka tukae njaa msibani? Acheni ujinga CHADEMA, zile hata nyinyi mngekula, kwanza kitendo cha nyinyi kufika pale msibani tu ni kwamba na nyinyi mlikula, maana kama uwanja na nyinyi mlichafua hela ya usafi ulitaka tutoe mifukoni mwetu? Acheni uzuzu!!
Asante kwa kukiri mlikula rambirambi!
 
Niliposikia habari hizi mara ya kwanza, nilifikiri ni utani wa hapa JF-Siasa! Seriously, wameamua kuelekeza rambirambi za malaika (RIP) kwenye 'miundombinu' kama zile za wahanga wa tetemeko Kagera? Shame on you all - utawala wa mkoa wa Arusha na taifa la Tz.
 
Nawaza hivi ikitokea janga lingine( siombei itokee) likaathiri watu ..hivi tutaingia kwa gia gani tena..
 
Hili Inanifanya Nione Kama Joti ni Nabii? Kama Maigizo tu ya Kuiba Pesa za Rambi rambi yalituchefua, haya sio Maigizo bali ni kweli.

 
Makosa yalifanyika 2015!wabunge wengine hawakupaswa kuchaguliwa/kuteuliwa kuingia bungeni!siamini kama wananchi jimboni kwake walimtuma kutoa hoja za kitoto kama hizi! !
Hoja ya Kitoto!!!?? Mhh Mimi naona si sawa Rambirambi za kufariji waliofiwa Na Watoto wao kupewa matumizi mengine. Hata waliochanga hawafurahii hayo matumizi, wangejua zitatumika kivingine wasingetoa.
 
Makosa yalifanyika 2015!wabunge wengine hawakupaswa kuchaguliwa/kuteuliwa kuingia bungeni!siamini kama wananchi jimboni kwake walimtuma kutoa hoja za kitoto kama hizi! !
Utoto wa hoja unalingana na utoto wa mpokea hoja maana kuna hoja huenda ni za kitoto lakin mtu mzima akizitafari huwa na majibu ya kikubwa na yakiutu uzima , nadhan wewe ndio umeonekana mtoto humu ,inamana hili kwako sio tatizo? Au upeo wako wa akili umegota?? Kuna mambo ya kisiasa na mambo ya kijamii na yote yanaigusa jamii sasa wewe kama akili yako ni ndogo kutokana na elimu yako ya K.K usidhan wote humu ni wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom