Bibi wa kihindi hujambo? Mmeo anakazi kweli. Hivi huwa ukielezwa unaelewa?Pemba hupandi boti ya mtu kama wewe ni mamluki .
Naomba hii dhambi ya ubaguzi isifike huku mitaani maana tutaanza kuikaribisha hali ya Rwanda 1994.
Mkuu hyo ni picha sio video.Imegoma kufunguka
Wanachama wataiga kutoka kwa kitendo wanachofanya viongozi wao,wao wapinzania wanadhani wanamkumoa madame spika kumbe wanajikomoa wenyewe na wao ndio wameanza kupandikiza mbegu za chuki na tabia mbaya ,sidhani mtu kama mimi ambaye ndie mpiga kura kususa kwao kunanisaidia kitu ,hapa wanaoumia sio CCM na serikali yake bali wapiga kura majimboni,na sasa ndio tunajua kwamba mpiga kura hana haki na mbunge wake bali viongozi wa vyama ndiowana haki na hao wabunge..
Mkuu kumbuka influence ya wanasiasa kwa jamii, pia kumbuka haka kadhambi ka ubaguzi huanza taratibu mwishowe huchipua kama uyogaHatufiki huko kabisa. Ujinga wa bungeni utaishia huko huko. Wasidhani wananchi ni wajinga. Watatoa jibu 2020
Nadhani ni muda muafaka kurekebisha kanuni za bunge ili kuondoa huu ujinga unajitokeza. Mbunge yeyote atakaekosekana bungeni kwa shughuli zisizokuwa za kibunge kwa siku 3 anakosa sifa ya kuwa mbunge.
Halafu akishakosa sifa ya kuwa mbunge kinafuatia nini?uchaguzi upya au wanateuliwa na chama au serikali?mbunge kachaguliwa na wananchi na wananchi ndio watakaomtoa, vinginevyo ni kutafuta ugomvi, fujo na machafuko
Vipi kuhusu kubadilisha kanuni kwa ajili ya wabunge wanaofanya mzaha bungeni kama huyu kijana Goodluck?
Wewe ni mfiachama,sio nchiWanachama wataiga kutoka kwa kitendo wanachofanya viongozi wao,wao wapinzania wanadhani wanamkumoa madame spika kumbe wanajikomoa wenyewe na wao ndio wameanza kupandikiza mbegu za chuki na tabia mbaya ,sidhani mtu kama mimi ambaye ndie mpiga kura kususa kwao kunanisaidia kitu ,hapa wanaoumia sio CCM na serikali yake bali wapiga kura majimboni,na sasa ndio tunajua kwamba mpiga kura hana haki na mbunge wake bali viongozi wa vyama ndiowana haki na hao wabunge..
Kitila Mkumbo amewashauri wanasiasa wa upinzani wabadilishe style ya upinzani kipindi hiki ch Magufuli.. Magufuli ni nyakati nyingine compare to JK
Hakuna siku uliwahi kuandika jambo lenye maanaWao ukawa wakitaka wakomeshe zaidi watembee bila nguo hiyo itakuwa nzuri zaidi.
Anajidanganya tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nzanzibar uko mwenzao anakusanya waganga asome albadiri na uku itafika to
China wapo wanatoshaMwache awe kama alivyo na tutaendelea kupoteza diplomasia ya kimataifa maana nchi za wenzetu wanafatilia hali ya nchi ilivyo.Ukikosa ushirikiano mzuri na mataifa mengine hata uchumi utayumba kwa kiwango fulani.