Wabunge wabaini ufisadi mwingine katika Umilikishaji wa Mahoteli

Lake Manyara Hoteli

manyara_main_index.jpg

Nyuma ni Ziwa Manyara ambalo nalo kutokana na Serikali kuingiza Siasa linakaribia kutoweka

Hii ni Lobo
Lobo%20wildlife%20lodge.jpg

Lobo_Wildlife_Lodge.jpg
 
Kwa ufupi mwenye Hotel anapata dola 350 sawa na sh 549500 kwa siku halafu serikali hii chovu dhaifu dhofli Fisadi inapata dola 4 yaani elf 6 na kitu...haya mambo unaweza kujinyonga kwa hasira!!!!!! stuuuuupiiidddd

Mkuu ni dola 350 per room yaani double (FB) Full Board,kwa hiyo kwa mfano tu chukulia room 30 ni zaidi ya dola elfu 15 kwa siku,hasira zaidi ni kwamba wamepandisha bei hadi dola 410 kuanzia January mosi,wahindi wa Leopard tours na Range safari wao wanapewa Contract rate nzuri tofauti na Local companies nyingine,hivyo si wazawa wala serikali inayofaidika na rasilimali tulizojaliwa.
 
Hii nchi Ni Bora Tubebe mitutu kabisa, amke haya ni Mambo ya ajabu sana na kuna watu wanaona kama jhayawahusu kabisa, Hiki chama kwakwewli we acha tu
 
Mkuu ni dola 350 per room yaani double (FB) Full Board,kwa hiyo kwa mfano tu chukulia room 30 ni zaidi ya dola elfu 15 kwa siku,hasira zaidi ni kwamba wamepandisha bei hadi dola 410 kuanzia January mosi,wahindi wa Leopard tours na Range safari wao wanapewa Contract rate nzuri tofauti na Local companies nyingine,hivyo si wazawa wala serikali inayofaidika na rasilimali tulizojaliwa.

Ndg,

Nasikitishwa sana na hali hii ya wenye nchi kulalamika kila kona dhidi ya wageni wachache wanaoitwa wawekezaji. Nilitegemea hao wachache ndio wangelalamika kila mara.
Tukiamuatunaweza kuwafanya walalamike na hata kukimbia ikibidi.
Wenye nchi ni wengi na wana uwezo wa kumshughulikia yeyote yule na sheria zinazowalinda wageni ni dhaifu kama wenye nchi hawazikubali hata kama zimepitishwa na vibaraka na washirika wa unyonyaji wa hao wageni!
 
hivi kama wawekezaji wanafikia kufanya wizi wa kiasi hiki tena mchana kweupe ni kweli taifa hili tupo makin i keli kwenye raslimali za taifa hili? ni kweli tunawatenendea vizazi vijavyo haki yao au ndo tunaangalia katika upandae wetu pekee? hatua kali zinatakiwa zichukuliwe dhidi ya hawa wawekezaji ili kuto fundisho kwa wengine ambao pengine nao walikuwa wakifikiria kufanya kama walivyofanya hawa
 
Mkapa ndio aliuza vitu vyote vya nchi hii kuanzia vyumba za serikali,viwanda,mahotel na mashamba,reli huyu niwa kuuwa mbele ya halai na magufuli kwa kuuza nyumba zetu.kinana meli yake inashikwa na meno ya ndovu huko china anapewa ukatibu mkuu wa ccm.

Hizi hotel kwa kumbukumbu yangu ziliuzwa wakati wa Mzee Ruksa. kama tunakumbuka hii kashfa ziliandikwa sana na aliyekuwa mwandishi mahari Stan Katabalo. Ilihusu TAHI na mwenyekiti wa bodi ya TAHI. Fuatilia vizuri
 
"tunazijua zote hizo ni changamoto , haziwezi kukosa kwenye uwekezaji."haya ndo maneno ya wanasiasa wetu kama wasira, kinana, mkapa na wengineo.Juzi tu ,dr.nagu alitetea serikali kutopeleka mikatba bungeni kabla ya kusainiwa ili kujua kama ina maslahi ya umma, hukuakitetea mikatba ni siri.Huo usiri ndo ufisadi unaogundulika, na kama mkataba ni mzuri usiri utike wapi?na kama unamasilahi ya umma wabunge gani wataukataa?dr.nagu na syndicate ya ccm ni kulindana kwenye wizi ,ufisaadi, utendaji mbovu, na kero lukuki kwa watanzania.napata tabu kuona makada wazima wakitambua uozo kama huo wanautetea kwa umma; na umma, unakubali na kuwaunga; mkono kisa pilau na viposho vya kuwavalishwa fulana za kijani na njano, tabu kwelikweli.kwa haya tusitegemee katiba nzuri, ikiwepo, maanake wawajibike.
 
hv si jana tu nimesikia njemba zinanyongwa hadi kufa au sio hpa bongo!?kwnn wahindi kama hawa waachwe!?nyongelea mbali na tutege baruti ktk mafiga yao ya kuchomea maiti ili waende wengi!
 
Taarifa ya habari ya saa mbili ITV inatia uchungu kwa mtanzania yeyote mwenye uwezo wa kufikiri vizuri. Hivi inawezekanaje tuwachie wageni waondoke na dola 300 sisi tuambulie 4 tu. HAKI ya MUNGU HATA SHETANI HAWEZI KUTUDANGANYA KWA MTINDO HUO. Hivi watanzania tulilishwa nini kwenye mbongo zetu? Tena kwa nini viijana wenye nguvu bila kufikiri hata kidogo tuendelee kushabikia vyama ambavyo vinafilisi nchi. Macho na akili zetu zimetiwa kiwi na kouteshwa kutu ili tufikirie virushwa na vigari vya rushwa? Hivi ni kweli ni ushabiki tu wa vyama hata kama ukweli unajulikana? Hivi ni kweli vijana wamekata tamaa sasa na kusema bora liende tu? Inatia uchungu. Hivi ni kweli unaweza kusimama kutunza na kufuga kiroboto na funza wanaotafuna miguu yako na ya watoto wako mwenyewe?

Kila kukicha unasikia jambo baya, mara mabilioni 300, mara migodi, mara EPA, Ehe, na bado kijana graduate anaendelea kushabikia KIDUMU CHAMA CHA ...... inasikitisha. Huyu ama alidesa chuoni au Kichwa chake kilishakataliwa hata na shetani. Hivi kweli vichwa vyeti vizima au tumebugizwa unga wa ndere? Inasikitisha?

Au ndo Maana Hegel aliwahi kupata mashaka na ubinadamu wa waafrika? Hakika inasikitisha! Hata haiwezekani labda Watanzania TUMELOGWA?

Haki ya Mungu na kwambia misahafu inasema " Auaye kwa Upanga atakufa kwa Upanga". Wapo viongozi walioishi kifahari wakafa kikafiri. Mungu analipa hapa hapa duniani. Na mimi nasema hao wanaotuibia wakati wengine tunateseka na kuwakiwa na jua tena hata ajira hatupati, MUNGU ingilie kati wanaomiliki na kutetea vyama kama hivyo walaniwe wao, wajukuu wao na vizazi vyao kumi na vinne. INAUMA SANA. KWA HILI CCM HAITARUDISHA HESHIMA YAKE YA ZAMANI ILA INAJARIBU KUFUNIKA MAVI KWA BAKURI ETI YASI.......
 
Ina maana wamejua leo?
Kwa serikali yetu kila utakachokigusa kina harufu ya Ufisadi!!!
 
Back
Top Bottom