Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 16,927
- 13,011
Nimesoma gazeti la raia mwema la wiki iliyopita, kuna article ya mihangwa ina sema kuwa baadhi ya wabunge walisema bungeni kuwa wawe wanapigiwa saluti na polisi. Mwingine akaua akasema wawe wanapewa majina ya mitaa,kwa mfano mtaa anaokaa saint ivuga upewe jina la lusinde wa mtera au john komba! Au mtaa wa kina ms upewe jina la lema, yani kuwe na lusinde street, lema street n.k