Wabunge Wa Upinzani Watoka Bungeni Kimyakimya

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,747
1-33.jpg

Wabunge wa Ukawa wameendelea kususia vikao vinavyoongozwa na Dk Tulia Ackson, lakini leo wametoka kimyakimya bila mbwembwe kama za jana.

Kwa sasa kamati ya uongozi ya umoja huo imeingia kufanya kikao kujadili mustakabali wao.

Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia amesema watatoa taarifa kamili baada ya kumaliza kikao hicho.
 
Ukiangalia clip ya wabunge wa upinzani utacheka, baadhi yao wameona aibu kufunga midomo yap kwa karatasi, nimemwona mzee mmoja nafikiri amefunga, ameshindwa kuwa mnafiki ikabidi acheke tu, karatasi hajaweka, wengine walishika bahasha, hii inaonyesha kuwa wazo hilo hawaliungi mkono wote.

Utafiti unaoneysha mwenyekiti wa CDM mh Aikael na Lema ndiyo walio asisi hiyo move ya ku protest.
 
Sasa huwa wanafuata nini bungeni ilhali wanajua kuwa wasiemtaka bado yupo kwenye kiti cha spika? Ni bora wangebaki majumbani kwao na wake /waume zao tu
 
mh sina cha kuongeza hapo...ila ukawa waendelee tuu maana hamuwezi kukaa watu 25 sehemu moja wenye itikadi tofauti tofauti harafu harafu wote muwe na uelewa mmoja
 
Wabunge wa ukawa ni kana Mabehewa ya treni
Kichwa ni mbowe
Yana buruzwa hovyo
Kichwa kiki potea njia mabehewa yote yanakwenda hovyo
hivi unaelewa maana ya neno chama??? Toa upuuzi Wako hapa.... Kwa taarifa yako wewe unaona kama wanafanya ujinga but muulize raid Wako inavomuumiza kichwa hili la wao kutoka bungeni
 
View attachment 358596
Wabunge wa Ukawa wameendelea kususia vikao vinavyoongozwa na Dk Tulia Ackson, lakini leo wametoka kimyakimya bila mbwembwe kama za jana.

Kwa sasa kamati ya uongozi ya umoja huo imeingia kufanya kikao kujadili mustakabali wao.

Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia amesema watatoa taarifa kamili baada ya kumaliza kikao hicho.
leo naona walipiga mswaki asubuhi naona hajaziba midomo!
 
Afadhali Mkuu umebuni hili jina maana tukiwaita lile jina la wanyama tunapogwa ban

Hivi nyie wenyewe na wabunge wenu hamjioni kuwa ni wapuuzi, kutwa nzima mnaijadili ukawa mnaacha kujadili masuala ya msingi. Mbunge wa ccm akipewa dakika kumi kuongea dakika saba anawatukana ukawa dakiika mbili anamsifia NS hiyo dakika moja anaunga mkono hoja, bure kabisa nyie viumbe sijui mumekula maharage ya wapi nyie.
 
Utakapojuwa ccm imepoteza haki angalia watu wake wa propaganda ni huyo aliyepewa jiji la wajanja wala vichwa vya kuku na miguu akijibali badili yaani yeye tangu asifiwe hana akili hata moja ya kuongeza kipato kwenye jiji bali kupiga simu magogogoni mumeona kwenye mtandao, ukawa namba nyingine yule bibi tulia anaandikwa kwenye hansard kila siku anaambiwaamekimbiwa na wabunge kwa sbabu hajui kuendesha bunge watasoma vizazi hata elfu moja aibu kwa msichana kuendesha bunge kichawi
 
Back
Top Bottom