Wabunge wa upinzani wanaoteuliwa na rais.

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Jana mh.rais ameteua wabunge watatu akiwemo mbunge wa chama cha upinzani.naomba mnijuze juu ya utaratibu wa kupata mbunge kutoka upinzani.je,rais anapata mapendekezo toka chama husika?au kuna vigezo vingine vinavyotumika?
 
Fool people sometime but not all time......he just draw bad card.!
 
Nafikiri safari hii alikuwa anatimiza masharti ya David Cameron kuhusu haki za Mapung'a, mabwabwa na wengine ambao ni sexual minority. Pale suala la chama limekuja tu bahati mbaya
 
Nafikiri safari hii alikuwa anatimiza masharti ya David Cameron kuhusu haki za Mapung'a, mabwabwa na wengine ambao ni sexual minority. Pale suala la chama limekuja tu bahati mbaya
Duh! So inamaanisha na mh Mbatia ni kama akina Cameroun?
Huyu jamaa si ameokoka jamani? Acheni uzushi kama mtu hamumpendi basi msimpakazie hii dhambi kwa sababu ni dhambi mbaya sana!
 
Back
Top Bottom