Hujawaelewa!!!!Walimsema Jk dhaifu, chekacheka,Vasco da gama, boys two men.Sasa tingatinga linawapa adabu.
Ukishaelewa walichomaanisha naomba uje na kufanyia edit post yako.Walimsema Jk dhaifu, chekacheka,Vasco da gama, boys two men.Sasa tingatinga linawapa adabu.
Hujaelewa, PoleHawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh
Hawajitambui hawa, ngoja 2020 ifike tuwanyoe kwa chupaWabunge wa Upinzani Bungeni walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete
View attachment 522732
Hujaelewa wewe umedandia treni kwa mbele. JPM kule Ikulu kamwambia Ndugai kuwa style yako ya kuwatoa wabunge na kuwafungia iendelee na ana iunga mkono. N akuwa wakija huku nje na wakiongea wanayoonge kule bungeni atawashughulikia. Ndio maana wameimba hivyo kama kejeli.Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh
Hata wewe umelipuka maana hujatueleze kwa nini walilipuka na kuimba. Ilikuwa ni kuhusu nini maana umetuacha gizaniWabunge wa Upinzani Bungeni walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete
View attachment 522732
Soma katikati ya misteri kwenye ujumbe huo wa Wabunge wa Upizani. Kwamba Marais hao Wastaafu yaani Mkapa na Kikwete nao wanahusika na hizi kashfa za uchimbaji wa Madini.Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh