Kuzomea (booing), kugoma (go slow) na kutoka nje (walk out) ni matokeo (effects) ambayo hayana budi kuwepo kama kuna kitu kilichoyasababisha (cause). Watu wote makini wanajikita zaidi na visababishi (causes) ili kuzuia matokeo yasiyotakiwa. Kwa vile hili jukwaa ni la kuelimishana, namshauri mtoa mada asome kuhusu kanuni ya visababishi (Principle of Causality) halafu arudi kuifanyia marekebisho post yake.