Wabunge wa upinzani hamjatumwa bungeni kuzomea

we ni kiaz angalia ulaya huko mpaka wanadundana,ulaya mbali bunge la kenya unalijua wewe,bunge sio kanisa wala msikiti.tatizo watu mumeanza kufuatilia siasa mwaka huu

hata kama nimeanza siasa kwa post hii haijustify ujinga wa wana ukawa.
 
Ila kushangilia ruksa???Unaporuhusu kucheka huwezi zuia kulia,ukiruhusu kushangilia lazima uruhusu kuzomea!

Hivi tumewatuma kwenda kusema ndiyooooooooooooooo?
Mbona hawajasema kwenye Sera zao
 
akuna kitu kibaya bungeni kama kusema ndiooooo kila kitu wabunge wa ccm kila kitu kwao ni ndiooo kwa hiyo dawa nzuri ni kuwazomea tu,
 
Mkifanya ukaidi mtazomewa tu! hamna namna nyingine.. manake tumechoka na upuuzi wa CCM

Utamdaije haki zako mtu ambaye anakudharau kutokana na kuwa wao wako wengi? Lazima utumie mbinu yeyote. Ona leo Dodoma kulivyo na taharuki mpaka polisi wametapakaa utadhani wanauwezo wa kuingia Bungeni.
Hiyo nayo ni mbinu, washatishiwa kuwa akija Shein patachimbika basi wakubwa ni hofu kwenda tuu kuogopa kuaibika. Sasa ndio unapokuja kujua kuwa kuheshimiana ni jambo la muhimu bila kujali wingi wa kundi moja. Tena sasa wameongezeka hivyo hata kama zitapigwa ngumi nguvu yaweza kuelekea kuwa sawa.
 
Kumbe wabonge wa FISIEM wao wametumwa kushangilia na kusema ndiooo kwa kila jambo. Loh! Ujuha nayo shughuli-dughuli.

Chungulia basi kimya kimya mabunge mengine kutoka nchi zenye heshima uone mziki wake. Unajifedhehesha kupinga mambo ambayo ni kama desturi za mabunge. Bunge si mkutano wa FISIEM ambao hupongezana hata kwa upuuzi.
 
wanaweza pia kusema hapanaaaaaaa ila hatupendezwi na tabia za kihuni bungeni, kutukana na kuzomea sio akili wala ujanja zaidi sana ni ukanjanja tu.
 
Kwa mwenye akili na anayethamini utu na heshima. . . .Kuzomewa ni adhabu kubwa saaanaaa
 
Unapotazama bunge na kuona jitu zima kabisa na akili zake, tena limepata kura elfu 30, ili kuwawakilisha wana nchi wa jimbo lake anaishia kusema "buuuu" , hiyo sio sifa wala akili ni matope.
Kumbuka siku ambayo Mh. Joseph Mbilinyi alikuwa 'akivunja' sheria kwa kuwazuia askari waliokuwa wakivunja sheria za bunge pia mlimuona kama mvuta bangi bila kuelewa kuwa alikuwa akiweka historia ya kuheshimiana katika nchi yetu. Angalia baadhi ya waliomuelewa wamemwezesha kupata kura nyingi kuzidi wabunge wote.
Ukipima hapo ndipo utajua mwenye akili na mwenye matope ni nani! Demokrasia kwa Afrika bado ina ukakasi na ndio maana walioshinda kwa kupigiwa kura wameambiwa kuwa makaratasi hayawezi kuwapa uongozi sasa ni kwa nini wasitumie japo njia mtambuka?

Naona aibu sana kwa nchi yangu.

Unapotazama bunge na kuona jitu zima kabisa na akili zake, tena limepata kura elfu 30, ili kuwawakilisha wana nchi wa jimbo lake anaishia kusema "buuuu" , hiyo sio sifa wala akili ni matope.

Kwa bahati mbaya sana, wabunge waliochaguliwa kwa tiketi ya ukawa wanadhani upinzani ni kupiga kelele bungeni, kutukana, kubishia kila kitu na pia kutoka nje.Sidhani waliowachagueni waliwapa dhamana hiyo, mkafanye mnayoyafanya sasa.

Mkiwa majukwaani mbona hampigi makelele hovyo au kutukana au kuzomea au kukimbia majukwaa kama mnavyofanya mkiwa bungeni.Mkiwa mnaomba kura mnaigiza busara za hali ya juu, kumbe hamnazo hata chembe.

Acheni ujinga na kudhalilisha bunge letu na pia wananchi waliowapigia kura wananchi angalieni wabunge mliowachagua, wanawaaibisha.

Mkuu kama kiti kikiyumba na kuanza kuonyesha upendeleo wa wazi wazi na kama kiti hakitawatendea HAKI sawa kwa kila mbunge aondoe itikadi ya kukipendelea chama chake nina hakika bunge litaenda vzr. Huwezi kuwalazimisha upinzani washangilie uozo wa ccm wa kuitikia kl kitu ndioooooo
 
Naona aibu sana kwa nchi yangu.

Unapotazama bunge na kuona jitu zima kabisa na akili zake, tena limepata kura elfu 30, ili kuwawakilisha wana nchi wa jimbo lake anaishia kusema "buuuu" , hiyo sio sifa wala akili ni matope.

Kwa bahati mbaya sana, wabunge waliochaguliwa kwa tiketi ya ukawa wanadhani upinzani ni kupiga kelele bungeni, kutukana, kubishia kila kitu na pia kutoka nje.Sidhani waliowachagueni waliwapa dhamana hiyo, mkafanye mnayoyafanya sasa.

Mkiwa majukwaani mbona hampigi makelele hovyo au kutukana au kuzomea au kukimbia majukwaa kama mnavyofanya mkiwa bungeni.Mkiwa mnaomba kura mnaigiza busara za hali ya juu, kumbe hamnazo hata chembe.

Acheni ujinga na kudhalilisha bunge letu na pia wananchi waliowapigia kura wananchi angalieni wabunge mliowachagua, wanawaaibisha.

Hiloooooooooooo:eek::eek::eek::eek::eek:
 
Lakini kweli huwezi kukawa na watu wengi wote vile halafu wote wakawa sawa,huku kutofautiana kwa binadamu ndiyo wengine tofauti zao huwafanya kuweza kufanya yale wayafanyayo mule.
 
Naona aibu sana kwa nchi yangu.

Unapotazama bunge na kuona jitu zima kabisa na akili zake, tena limepata kura elfu 30, ili kuwawakilisha wana nchi wa jimbo lake anaishia kusema "buuuu" , hiyo sio sifa wala akili ni matope.

Kwa bahati mbaya sana, wabunge waliochaguliwa kwa tiketi ya ukawa wanadhani upinzani ni kupiga kelele bungeni, kutukana, kubishia kila kitu na pia kutoka nje.Sidhani waliowachagueni waliwapa dhamana hiyo, mkafanye mnayoyafanya sasa.

Mkiwa majukwaani mbona hampigi makelele hovyo au kutukana au kuzomea au kukimbia majukwaa kama mnavyofanya mkiwa bungeni.Mkiwa mnaomba kura mnaigiza busara za hali ya juu, kumbe hamnazo hata chembe.

Acheni ujinga na kudhalilisha bunge letu na pia wananchi waliowapigia kura wananchi angalieni wabunge mliowachagua, wanawaaibisha.

wewe ni mgeni kwenye siasa mabunge yote yenye upinzani lazima kuwe na utofauti wa kimawazo refer bunge la Japan, ugiriki,South Africa, etc walifikia hatua hata ya kutwangana mangumi na wao ndo mnawasifia kwa ustaarabu. sembuse hao wanaisimamia serikali kwa kuishia kuzomea tu.
 
wanaweza pia kusema hapanaaaaaaa ila hatupendezwi na tabia za kihuni bungeni, kutukana na kuzomea sio akili wala ujanja zaidi sana ni ukanjanja tu.

Kuzomea ndio silaha ya mnyonge, kumbuka nyie mnatuma jeshi kwenda kupiga raia wasio na silaha, sasa wao wameamua kuzomea. Na ukumbuke watakapozomea wananchi wanapata kujua nini kinaendelea hasa huko ZnZ kila mmoja anazidi kuona huo uhuni na kujua kwa undani hiyo hila inayofanywa na ccm ya kulazimisha kubaki madarakani.
 
Back
Top Bottom