Wabunge wa Ujerumani wawasili Taiwan

Wabunge wa Ujerumani wawasili Taiwan

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
super power kashaonesha njia kifuatacho ni kumprovoke china nayeye ajae.

hii ni baada ya kuonekana jeshi la Kyiv lina fanikiwa kwa kasi ya 5G+.

sasa kwa pamoja tunaandaa mazingira ya kumuingiza TAIWAN NATO.

=========

Ujumbe wa Wabunge wa Ujerumani umewasili leo katika kisiwa cha Taiwan, ikiwa ni ziara ya kwanza tangu kuzuka kwa Covid-19.

Ziara hiyo imeukasirisha utawala wa China na ambao unatupilia mbali ukaribu huo wa kidiplomasia na kisiwa hicho kinachojitawala.

Wabunge hao ambao watamaliza ziara yao siku ya Alhamisi wiki ijayo, wanatarajiwa kukutana na Rais wa Taiwan Tsai Ing-wen, Makamu wa Rais Lai Ching-te, Spika wa Bunge You Si-kun, pamoja na wabunge wa kisiwa hicho.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Taiwan Joseph Wu ambaye atakutana pia na wabunge hao amesema Taiwan na Ujerumani ni washirika thabiti wenye maadili sawa kama vile uhuru, demokrasia, utawala wa sheria na haki za binadamu na kuwa kwa pamoja wanalinda utaratibu wa kimataifa unaozingatia sheria.

Source: DW.

Tunasuper power mmoja tu CASE closed.
 
Njia pekee ya kumshinda mjinga ni kumuacha aendelee kufurahia ujinga wake.
 
China kaona atulie zake adili na issue zake za kutengeneza baskeli, mwenye nguvu mpishe wazee wetu walikuwa wanatuambia haya maneno
 
Back
Top Bottom