Wabunge wa TZ kwenye Bunge la EAC watetea kwa nguvu zote Kenya kujenga Uwanja wa Ndege Taveta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa TZ kwenye Bunge la EAC watetea kwa nguvu zote Kenya kujenga Uwanja wa Ndege Taveta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHASHA FARMING, Sep 2, 2012.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Wabunge wa Tanzania kwenye Jumuia ya Africa Mashariki wametetea kwa nguvu zote kenya Kujenga Uwanja wa Kimataifa wa Ndege jirani na Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro, wanadai hauna shida kabisa na ni mipango ya Serikali ya Kenya,

  Source CHANNEL 5(EATV)
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Wanaongea wakiwa wametumwa na nani?

  Wabunge waliowachagua au vyama vyao vilivyowapa nafasi ya kugombea?

  Kitu gani kinachowafanya watu hao waitwe wabunge wa Tanzania?
   
 3. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  "Tatizo lenu nyie wabunge mnafikiri kwa kutumia makalio"- Dr. Didas Masaburi. Kweli mh. Masaburi aliona mbali....
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Yaani wameanza mapema kutulaghai yaani interval ya kama 100km na uwanja wetu wao wanaona hamna shida?
   
 5. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Wajiulize ndo TULICHOWATUMA
   
 6. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  insanity.
   
 7. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Sema wabunge wa ccm mafisadi, sio wabunge wa Tanzania, anyways, hii imekaaje kwa maslahi ya taifa??? hata hivyo ccm mafisadi hawapo kwa maslahi ya taifa, kikubwa kwao ni 10%. mbunge wa ccm mafisadi akishapata 10%, hana habari ya mengine, hata kama nchi inauzwa, sana sana atarudi kuja kuchukua share yake, sio kuhoji kwa nini nchi imeuzwa!!!!!!!!!!!!!!!!
  Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waling'oe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
   
 8. z

  zamlock JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  cha msingi hapa ni sisi kujipanga kuboresha cha kwetu KIA mazingira ndiyo yatakayo sababisha biashara,
   
 9. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Kwani wabunge wa Tz wana haki ya kuingilia mipango ya Kenya? Iwapo tutanufaika pamoja nao hao wakenya watakapokuja watalii kwao. Tukumbuke kuwa tuna vivutio vingi zaidi upande wa kwetu kuliko huko Kenya.
   
 10. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu hawa wakenya wanataka Ku Bloc Kabisa KIA na sio hiyo tu, Ile Barabara ya Serengeti wao ndo wanapambana isijengwe, na kuna kipindi walisha hata wahi kupiga kelele Hoteli za kitalii zi sijengwe nyingi kwenye hifadhi ya Serengeti
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mnalia nini na hao vilaza ndio waliochaguliwa na wabunge wa magamba? Did you expect anything substantive from people like Kimbisa and Shy Rose Bhanji?
   
 12. r

  republicoftabora Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa wakenya kama vile wameturoga

  wameanzisha campain online kupiga vita barabara ya serengeti...basi media zote includi JAMIIFORUMS wakaweka petition kuipinga hiyo barabara

  tazama hiyo thread sticky inamwambia JK ati azuie ujenzi wa hiyo barabara

  Juzi wameanzisha nyingine kuhusu Ngorongoro

  na leo hii wabunge wa Tanzania wanawafanyia kazi

  huu ushawi sijui umetokea wapi
   
 13. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  No leaders in Tanzania.
   
 14. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Tatizo la nchi yetu , intelejensia ni ya kuzuia maandamano ya CDM tu badala ya kwenda mbali zaidi hadi kwenye intelejensia ya uchumi.Jamani milosoma masoko, je huduma mbili kutolewa jirani na nyingine, haziwezi kuleta ushindani wa kibiashara?kama hapana nitasikitika mwalimu na mtaaluma huyo labda liwe soko hodhi, monopolu au oligopoly, lakini kama ni perfect competative market, ni lazima ushindani utakuwepo;hoja hapa wakenya wanataka kunyang'hanya soko la kia ili waendlee kupata mapato zaidi kwa watalii wanakuja mlima kilimanjaro.hao ndo wabunge waliotokana na kura za rushwa za wabunge wa ccm
   
 15. B

  Bijou JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Tatizo la kuchagua kishabiki badala ya kuchagua KWA kufuata weledi, watu wapo kimaslahi ZAIDI NA SI KWA ajili ya watanzania NA Tanzania.
   
 16. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Katika jumuia ya Africa Mashariki Tanzania niya 2 kwa rushwa na kenya niya 3 so hakuna cha kushangaa hapo it is just a matter of bagaining kabla ya kikao halafu pale ndani mnaenda kukamilisha tu zoezi. Did you people expected wonders than these?
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  insanity is a talent to some of these people.
   
 18. m

  makundi4619 JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 486
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Exactly Kenya wana mipango yao ya uchumi. Na Tanzania tuangalie tufanye nini ili tuwapiku wao waje kuonan kuwa hiyo airport was their mistake si juu yetu. Katika ushindani wa kibiashara huna sababu ya kumzuia mwingine eti biasahra yako haitafanikiwa kwa sababu yake. Huu ni mtazamo hasi watanzania tuingie kazini tuache kulalama.
   
 19. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,525
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Wabunge wa Afrika Mashariki toka Tanzania hawakuandaliwa kuitetea maslahi ya Tanzania na pia hawana maktaba maalum ya kujikumbusha historia, maamuzi-mikakati yaliyopitishwa na serikali ya Tanzania miaka ya nyuma na pia hata kauli za karibuni toka kwa Balozi wa Kenya nchini Tanzania Mh. Mutiso nanukuu:


  Je, CCM na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Kamati Maalum ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama chini ya Mh. Edward Lowasa pamojana Waziri wa wizara ya Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta pia walishanena nini juu ya jambo hili ambalo Wabunge wa Afrika Mashariki wanaliltetea, nanukuu:


  Swali la nyongeza kwa Kamati Maalum ya Bunge, Ulinzi na Usalama chini ya Mh. Edward Lowasa na Waziri wa Afrika Mashariki , Mh. Samuel Sitta, je mmebariki kauli, maamuzi ya hawa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki toka Tanzania? na kama ni ndiyo ni nini kilichosababisha kubadilika msimamo wa Tanzania ktk jambo hili?
   
 20. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  ndio faida ya kuchagua wajingaaaaaa
   
Loading...