Wabunge wa Marekani wamuombea Magufuli

Wabunge wa Marekani wamuombea Magufuli

Aisee ifikie hatua muanze kuona hata aibu ya kutudaganya. Wamarekani waache mambo yao eti wamuombee Magufuri!!!!
 
Wanamwombea tezi dume ili atibiwe kwao,wakamue dolari zetu? Magu haendi kutibiwa nje,amesema atatibiwa,atafia na kuzikwa Tanzania. Tunaimarisha Huduma zetu za afya kwa mapato yetu. Mbona waliokwenda kutibiwa huko majuu walirudi ndani ya masanduku? Nchi yetu siyo shamba la makaburi.
 
Scan ukurasa wenye habari kamili uweke sasa haka ka headline watu wanatoana povu tu!!
 
Ni kweli kabisa tena wametoa ombi kua wakopeshwe pesa kwa kua uchumi wa Marekani umeyumba ivyo wamemuomba Raisi msaada wa pesa ili waweze kufanya uchaguzi hasa ukichukulia Tz ndio nchi inayokusanya kodi kubwa kuliko zote duniani,hakuna namna namna acha tuseme tu.
 
GOD
BLESS MAGUFURI AND IS ENTERE GOVT;
WHICH CONTINUE TO BRUST MAJIPU.

WE ADVICE , DO,NT COME TO USA UNTIL ALL MAJIPU ARE FINISHED
IN GOD NAME
AMEN
 
Aisee...!
Hayo maombi yalichukua mda gani?
 
Magazet ya tz ni kuandika ushoga hamna jipya hapoooooo..........uzi gani hauna linki????Kuna watu huko ulaya wanajua tz uko bars la antaktika
 
Hawa ndio aina ya wabunge Kutoka marekani ambao Tanzania inawataka sio wale wanaokuja kuja kushinikiza mambo ya USHOGA NA USAGAJI.

Tunashukuru kwa maombi waliyoomba na watakayoendelea kumwombea Magufuli na kuiombea Tanzania.Na waendelee tu kuja kuomba na watuombee pia wakiwa Marekani.
Wamemuombea kuhusu nini? Wachukue hela, arudie uchaguzi Zanzibar au mapepo yamtoke?

Hebu tufafanulie nyie watanzania mnapenda wabunge wanaowaombea nini?
 
Hivi mtu kama Trump anamjua Magufuli kweli japo hayupo kwenye serikali ya Marekani?
Magazeti ya Tanzania waandishi wao kubebesha headlines ili magazeti yanunuliwe tu hakuna la zaidi
Kwani Trump ni mbunge?
 
Nilibahatika kunasa jinsi Maombi ya wabunge hao kutoka Marekani yalivyoendeshwa;
*****************************************
Mwongozaji: Eee bwana wa majeshi tubariki na uyabariki maombi yetu
Wabunge: Ameen

Mwongozaji: Yapumbaze haya matanzania yakubali kila tutakachokisema wamarekani
Wabunge: Ameen

Mwongozaji: Mfunge Rais Markful asishtukie mkataba wowote wa madini ulioihusisha nchi yetu tukufu United States of America.
Wabunge: Ameen

Mwongozaji: Litie ujuha na umajinuni bunge la JMT liwe linapitisha haraka haraka na bila kuisoma miswada inayohusu kutuongezea mikataba ya bwerere kama bunge la awamu ya nne lilivyofanya.
Wabunge: Ameen

Mwongozaji: Mpe ushawishi Markful ziara yake ya kwanza aje Marekani na awe anakuja mara kwa mara kama Kikwete
Wabunge: Ameen

Mwongozaji: Mtie nguvu Rais ajaye wa Marekani awe Trump au Bi Hilary Clinton kila atakayemuita Markful awe anakuja mbio kama Ussein Bolt wa Jamaica
Wabunge: Ameen

Mwongozaji: Mpumbaze Rais huyu kama kuna mshirika wetu katumbuliwa jipu ajisahau amrudishie wadhifa wake
Wabunge: Ameen

Mwongozaji: Eee bwana zilegeze nyoyo za watanzania zichangamkie ushoga
Wabunge: Ameen

Mwongozaji: Ee baba uliye kwenye anga za juu lipige sunami bunge la Tanzania liridhie ndoa za jinsia moja
Wabunge: Ameen
 
Hawa Maseneta walikuwa 9. Walipitia Ikulu ya Lilongwe(Kamuzu Palace) na kukutana na Rais Prof. Arthur Peter Mutharika wa Malawi. Walifanya naye mazungumzo na waliahidi kumwombea kwa mungu pia.Waliongozana na Balozi wao nchini Malawi Virginia Palmer.. Ijapokuwa kulikuwa na tuhuma kuwa Palmer alikuwa akiwaunga mkono wapinzani wa Mutharika. Mkutano wenyewe ulikuwa mzuri na utani mwingi kuonyesha kutoaminiana na Balozi kumekwisha. Prof. Mutharika pia ameishi sana Marekani na ana wajukuu huko..
 

Attachments

  • US-sanators-mutharika.jpg
    US-sanators-mutharika.jpg
    16.1 KB · Views: 21
Hawa Maseneta walikuwa 9. Walipitia Ikulu ya Lilongwe(Kamuzu Palace) na kukutana na Rais Prof. Arthur Peter Mutharika wa Malawi. Walifanya naye mazungumzo na waliahidi kumwombea kwa mungu pia.Waliongozana na Balozi wao nchini Malawi Virginia Palmer.. Ijapokuwa kulikuwa na tuhuma kuwa Palmer alikuwa akiwaunga mkono wapinzani wa Mutharika. Mkutano wenyewe ulikuwa mzuri na utani mwingi kuonyesha kutoaminiana na Balozi kumekwisha. Prof. Mutharika pia ameishi sana Marekani na ana wajukuu huko..
Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Repiblican Donald Trump aliishasema walikaa sana na Rais Peter Mutharika huko USA wakifanya kazi ofisi moja anamjua, na akaapa Mutharika ni mtu asiye na uwezo hata wa kuongoza chuo lakini leo huku Afrika ni Rais. Akasema akibahatika kuwa Rais wa USA lazima amng'oe hafai.
 
Back
Top Bottom