Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
wamuombee ili afunguke akili aweze kujuaa mipakaa ya uongozi wake na mihimili mingine ya dola.Pia aweze kufanya kazi kwa weledi badala ya kukurupuka na kutafutaa cheap popularity thru media na watu wenye ufinyu wa kufikiri.