Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Nawaomba wabunge wa Dar ambalo linaongozwa na Daudi Bashite (a.k.a Paulo Makonda) wawaase wapiga kura wap waliopatwa na kadhia ya Vyeti feki wasiondoke kwenye nafasi zao za kazi hadi Daudi Bashite ajiuzulu kwenye nafasi ya Ukuu wa Mkoa. Hii ndio njia pekee ya haki kutendeka vinginevyo wananchi watalazimika mtaani kudai haki zao za msingi, kwani hii zoezi lina uwalakini mkubwa.
Haiwezekani Sheria itumike kuwabana wanyonge na wengine wapewe haki ya kuwa juu ya sheria. Utetezi pekee ni wawakilishi kuweka wazi kwamba ikiwa serikali haitatenda haki sawa, basi wananchi wawe talari kuingia mtaani kudai haki.
Haiingii akilini mtu afanye kazi miaka 30 kwa uadilifu, leo anafukuzwa kudaiwa ana vyeti feki wakati siyo kweli. Tunataka haki sawa. Ngoma kwa Wabunge wa Dar. Wawakilishi wengine watafuata na ukombozi wa kweli utatufikia