mabadilikosasa
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 379
- 85
kitendo cha wabunge wawili wa chadema kuvamiwa na kupigwa sii kizuri. sharti wabunge wote wa chadema wapewe ulinzi wa kutosha na chama. mbunge mmoja wa chadema ana dhamani kubwa saana kwa taifa hili. dhamani ya mbunge mmoja wa chadema sawa na wabungu 50 wa chama cha magamba