Wabunge wa CHADEMA wakiongozwa na Haonga warudisha posho na kupima Corona!

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,209
42,071
Wasalaam wana jamvi!

Wabunge wa Chadema wakiongozwa Na Hahonga wamerudisha posho walizo lipwa na kupima corona kama walivyotakiwa na spika!

Mbunge Hahonga amesema yeye ametimiza masharti ya bunge yote yaliyo wekwa ili aweze kuingia bungeni ikiwa ni pamoja na kupima Corona na kurudisha posho aliyotakiwa kurudisha na anayo risiti na ameruhusiwa kuingia bungeni kuwatumikia wananchi wake!

Mbunge Hahonga amekuwa wa kwanza kutii masharti ya spika na yaliyowekwa na bunge baada ya wabunge hao kulikimbia bunge!

Hivyo Nichukue nafasi hii kuwapongeza wabunge wa chadema kwa kutii sheria bila shuruti!

Wasalaam

Chanzo: Clouds Fm

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Source : Clouds Fm

Sent from my iPhone using Tapatalk
Mbona ni wote 15 wamefanya hivyo. Sisi hatuko kisanii kama Rais John Pombe Magufuli na waziri Kalamagamba Kabudi. Acha waendelee na usanii wao ila kutakachowakuta tusije kulalamikiana!
 
Wasalaam wana jamvi!

Wabunge wa Chadema wakiongozwa Na Hahonga wamerudisha posho walizo lipwa na kupima corona kama walivyotakiwa na spika!

Mbunge Hahonga amesema yeye ametimiza masharti ya bunge yote yaliyo wekwa ili aweze kuingia bungeni ikiwa ni pamoja na kupima Corona na kurudisha posho aliyotakiwa kurudisha na anayo risiti na ameruhusiwa kuingia bungeni kuwatumikia wananchi wake!

Mbunge Hahonga amekuwa wa kwanza kutii masharti ya spika na yaliyowekwa na bunge baada ya wabunge hao kulikimbia bunge!

Hivyo Nichukue nafasi hii kuwapongeza wabunge wa chadema kwa kutii sheria bila shuruti!

Wasalaam

Source : Clouds Fm

Sent from my iPhone using Tapatalk
Hapo ndo uwapime akili yao. Je kiichowatoa bungeni kimekwisha?
 
Back
Top Bottom