kupelwa
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 1,087
- 450
M4C ni njia muhimu kujenga eleimu ya uraia, na M ndo pia kujenga demokrasia ya kweli kwa kuamsha chachu ya ufahamu wa maisha na msitakabari wa nchi hii.CCM ni muda itatoa ghiriba na kuficha ukweli ambao chama CDM inafanya kwa operesheni mbalimbali.kwa xaxa wananchi walio wengi wanapenda xana shughuli hiyo iendelee kufanywa.
Ni upofu kutoa elimu ya uraia na demofrasi wakati wa kampeni za uchaguzi pekee.Mwisho wa uchaguzi ndo mwanzo wa uchaguzi mwingine kwa kuzingatia mihimili ya demokrasia kuhoji uwajibikaji wa serikali na ahadi zake.je kama ccm lazima ihojiwe ilani yake na ahadi zao kama zimetekelezwa na kueleta tija katika jamii.Hivyo mdau anayeleta propaganda mfu ni kichaa , huo ni utoto.CDM inawasomi wengi wazuri na wenye hekima hawazi kushitushwa na propaganda zisizo na tija kuzuia hoja zenye tija na sizo na ghiriba zisitolewe.
Mdao alietoa thread hii natoa hisa zake za woga wa operation hiyo.lakini kwa msitakabari wa siasa za kisasa anapoteza muda.hata hivyo 2mil za wabunge mbona kidogo sana kuendesha operehseni hiyo.M4C INAENDESHWA NA UMMA na si fedha ya wabunge