Wabunge wa CHADEMA wailalamikia Operesheni Sangara

Status
Not open for further replies.
Napenda kuwasikitikia vijana wenzangu mnaoshabikia bila kujua nini nyuma ya pazia na nini kinaendelea ndani ya cdm naona bado mnatumika bila kujijua mfano mnamuiga molemo wakati yeye anaposho na analipwa mshahara na chama na ni mwaka jana tu chama kilimuolea mke na kumpangishia nyumba.
vijana fuatilieni wenzenu waliopata mikasa wakiwa ndani ya harakati za chadema na chama kiliwapa msaada gani?mfano mdogo fuatili vijana waliokamatwa iramba maghalibi kwa kesi ya mauwaji halafu utajua undani wa cdm kwa vijana.
kuna mambo mengi sana nitawaletea ili myajue na muache kutumika maana najua mnasumbuliwa na emotion tu bila reason ya msingi
nimekaa kimya kwa mda ili kuona uelewa wenu na kama kunambunge hajalaani kitendo cha kuchangishwa aje hapa nimpe dose yake hapa

kinachowauma ni pale mnapoona wananchi kwa hiari yao wenyewe wanachangia M4C kwa amasa kubwa wakati nyie mpaka muwaandikie barua zenye vitisho wafanyabiashara wakubwa!Hivi ule mpango wa changia ccm uliozinduliwa pale jangwani,mkasajili na shortcode 155....... Na vijana wa bongofleva wakawapigia promo ulifia wapi?lengo lilifikiwa?
 
Mmmmm,shose Gender,mbona wanakushangaa na ulichoandika?niko nao baadhi hapa na mbona wanasema hawajakubaliana kuchangia kiasi chote hicho.
Wamekubali kuchangia 1.1.

Aliyekutuma mwambie atafute lingine wanakijua chama chao na wametoka nacho mbali sana.

Shose ni mmbea tu akuna aliyemtuma amejiagiza mwenyewe ni mwendelezo wa ule waraka wa mwigulu ambao ulishaexpire.wacha wao ndiyo wamegeuka wapinzani kazi yao baadala ya kutekeleza ahadi zao wanapita tena kuahidi tena.Hili wafikishie mabosi zako.Ukiwa muongo usiwe msaulifu.
 
Habari hizi ni lazima zijibiwe kwa kituo. Ama sivyo zinaweza kutufanya sie tusio na shirika na chama chochote kuziamni kama ni za kweli.
 
Kutokana na kazi anayoifanya na haya ni makubaliano ndani ya chama watu hawakurupuki. Kuwa tayari kupigwa na polisinyinyiemu hata kukashifiwa na kufikishwa mahakamani kwa kesi zisizo na msingi. Ndani ya usumbufu kama huo ana haki kutaka pesa ambayoa anaona itamfaa.
Katibu mkuu analipwa 7m shs??!! goddamn!!!
 
Mmmmm,shose Gender,mbona wanakushangaa na ulichoandika?niko nao baadhi hapa na mbona wanasema hawajakubaliana kuchangia kiasi chote hicho.
Wamekubali kuchangia 1.1.

Aliyekutuma mwambie atafute lingine wanakijua chama chao na wametoka nacho mbali sana.

Ni kweli ata mm nakumbuka kuanzia kwenye SACCOS ya kichaga mpaka kuwa chama cha kisiasa kimetoka mbali sana!
 
Mmmmm,shose Gender,mbona wanakushangaa na ulichoandika?niko nao baadhi hapa na mbona wanasema hawajakubaliana kuchangia kiasi chote hicho.
Wamekubali kuchangia 1.1.

Aliyekutuma mwambie atafute lingine wanakijua chama chao na wametoka nacho mbali sana.

Wewe ni nani ndani ya Chadema mpaka useme upo nao wabunge wa Chadema na umewahoji wamekanusha hawajasema.
 
Achana nae huyu sisi tutamkabili wenyewe maana hatujawai kubebwa kwenye mafuso au kulazimisha kukipenda chama nadhani ana fikiri ana ongea na watoto wake wa nusery. Kwanza na shangaa ana angaika nini?

Mmmmm,shose Gender,mbona wanakushangaa na ulichoandika?niko nao baadhi hapa na mbona wanasema hawajakubaliana kuchangia kiasi chote hicho.
Wamekubali kuchangia 1.1.

Aliyekutuma mwambie atafute lingine wanakijua chama chao na wametoka nacho mbali sana.
 
Mmmmm,shose Gender,mbona wanakushangaa na ulichoandika?niko nao baadhi hapa na mbona wanasema hawajakubaliana kuchangia kiasi chote hicho.
Wamekubali kuchangia 1.1.

Aliyekutuma mwambie atafute lingine wanakijua chama chao na wametoka nacho mbali sana.
Ooh madam, kumbe wewe ndiye msemaji wa chadema? Asante sana kwa taarifa zilizo verified!!
 
Wewe ni nani ndani ya Chadema mpaka useme upo nao wabunge wa Chadema na umewahoji wamekanusha hawajasema.

Yeye ni Mwanachama hai wa CDM ana haki ya kukaa na wabunge wa cdm kama mwananchi yoyote sema lingine.
 
Mmmmm,shose Gender,mbona wanakushangaa na ulichoandika?niko nao baadhi hapa na mbona wanasema hawajakubaliana kuchangia kiasi chote hicho.
Wamekubali kuchangia 1.1.

Aliyekutuma mwambie atafute lingine wanakijua chama chao na wametoka nacho mbali sana.

josephine wewe unafaidika na ruzuku ya chama ndio maana unatetea lakini kumbuka mungu hapendi hivyo,umekuwa ukitumia pesa za chama angali huna cheo chochote ndani ya chama na unawahadaa vijana kwamba ni makamanda na wanajitolea huku mchumba wako akilipwa zaidi ya mil 7 kwa kila mwezi na pia hio nyumba unayoishi unajua pesa ametoka wapi?

nimefurahishwa na kauli ya kwamba wenye chama chao wametoka nacho mbali sasa kwa nini huwa mnaonanipropaganda kwamba chama ni cha kikabila na ukanda kama kuna wenye chama chao?

naomba nikukumbushe tena kwamba Slaa hawezi kuwa rais na anakoelekea atakuwa zaidi ya yusuph makamba kipindi alipokuwa katibu mkuu wa ccm.
 
Yeye ni Mwanachama hai wa CDM ana haki ya kukaa na wabunge wa cdm kama mwananchi yoyote sema lingine.

Sio kukaa nao usipotoshe yeye kasema yupo na wabunge wa Chadema anawahoji kwa nini wanalalamikia operesheni Sangara, baada ya kuwahoji wamekanusha...jumapili muda kama huu utawapata wapi hao wabunge wewe kama mwanachama hai wa Chadema unaweza kuwakusanya wabunge uanze kuwahoji?
 
Kwanza unatakiwa uache unafiki wa kusema unapenda kusikitikia vijana, wewe una penda majungu ndio maana una leta mada za kubomoa!

Unataka tukufate wewew umbea na mnafiki? Kwani wenzio wa kichangia chama una umia nini?
Acha ni kwambie usijifanye unaijua sana chadema kwa kuleta majungu ili kuchonganisha watu na chama!

Ni kukumbushe tu hakuna aliye wai kulazimishwa kuipenda cdm bali ni mapenzi toka moyoni.
Sasa unafikiri maendeleo yatakujaje bila kuchangia na ukumbuke chama kina kazi nyingi kuna chaguzi ndogo, kuna mikutano ya nchi nzima sasa kama una taka utushawishi ili tuone kuna wizi imekula kwako!

Kwa jinsi ulivyo na haibu mbona hauja wataja wanao pinga kuchangia?
Kama mtu kaajiliwa kufanya kazi ya chama kwanini asipewe posho? Unataka tuamini ni dhambi?
Tulijua mtaibuka watu kama nyie wala hamtupi shida na mtazidi kuja kwa ID tofauti na wal usidhani wewe ni wakwanza na wala hautakua wa mwisho.
kweli unafiki ni zaidi ya ngozi.

Napenda kuwasikitikia vijana wenzangu mnaoshabikia bila kujua nini nyuma ya pazia na nini kinaendelea ndani ya cdm naona bado mnatumika bila kujijua mfano mnamuiga molemo wakati yeye anaposho na analipwa mshahara na chama na ni mwaka jana tu chama kilimuolea mke na kumpangishia nyumba.
vijana fuatilieni wenzenu waliopata mikasa wakiwa ndani ya harakati za chadema na chama kiliwapa msaada gani?mfano mdogo fuatili vijana waliokamatwa iramba maghalibi kwa kesi ya mauwaji halafu utajua undani wa cdm kwa vijana.
kuna mambo mengi sana nitawaletea ili myajue na muache kutumika maana najua mnasumbuliwa na emotion tu bila reason ya msingi
nimekaa kimya kwa mda ili kuona uelewa wenu na kama kunambunge hajalaani kitendo cha kuchangishwa aje hapa nimpe dose yake hapa
 
Yangu macho yanayoendelea ndani ya chadema mungu asaidie.Ila 2015 mengi tutayona na kuyasikia.Ila hili la chama kulipia walinzi wa kanisa analosali Josephine limenishtua kwa Kweli.
 
Sio kukaa nao usipotoshe yeye kasema yupo na wabunge wa Chadema anawahoji kwa nini wanalalamikia operesheni Sangara, baada ya kuwahoji wamekanusha...jumapili muda kama huu utawapata wapi hao wabunge wewe kama mwanachama hai wa Chadema unaweza kuwakusanya wabunge uanze kuwahoji?

Mkuu naona umekurupuka am sorry to say that...ukisoma alichoandika Josephine ajazungumza hayo na huu uzi ulikuwepo toka jana na yeye alicomment jana na wala si leo.do ur hme mzeya
 
Mkuu naona umeamua kuwa msemaji wa Josephine ebu angalia vizuri saa ya computer yako ndio maana kuna watu wamemjimbu wamemwambia nenda kanisani leo jumapili post yake inaonyesha today.
 
Tutasikia mengi kuelekea uchaguzi mkuu.

Mkuu Ritz,
Nipo busy na olimpiki hii sikuiona yaani mil.250 kwa mwezi haitoshi bado wanataka waheshimiwa wachangie mil 2.1? Usishangae hizi halmashauri kama Mwanza ikawa muflisi hawa jamaa ni matatizo lakini hii M4C umegeuka mradi wa Lema hawa jamaa ni kujipigia mapande ya ulaji kila siku.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Eti maelezo binafsi ya Zitto zaidi ya matano katika replies 338 views 5249 bila changes?? Ni kutumia akili za kimasaburi tu! Nenda kawadanganye wengine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom