Papaa Muu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 243
- 292
Mwakibinga,PhilipoTz.
Mwenyekiti wa CHADEMA ndiye mnyonyaji pekee anayefumbiwa macho na WANACHADEMA. Kwasababu pamoja na kashfa hizi eti bado ni Mwenyekiti wa Chama Taifa.
Kashfa na tuhuma za kutumia pesa zinazotokana na michango ya Wabunge kutoka akaunti maalum ya wabunge kwa ajili ya kampeni za 2020 ni jipu linalowaumiza Wabunge wa Chadema japo wanaogopa kusema.
Hadi sasa taarifa za uhakika zinaonesha Mbowe ametumia kiasi cha 600 milion ambapo kazitumia kulimia mashamba yake binafsi Ifakara Morogoro mashamba hayo yalikuwa yanasimamiwa na msimamizi wa Mbowe aliyekuwa Diwani wa kule yaani Ndugu, Godifrey Rwena ambaye hata hivyo aliuwawa katika mazingira ya kutatanisha. Kwa bahati alinyang'anywa mashamba hayo.
Mwaka 2015 kuna pesa zilitolewa na Wahisani ambao walijulikana kama Wajapani marafiki wa Gwajima, akanunua Muziki, na Magari ya Kampeni. Lakini baada ya kampeni kuisha akaamua kujimilikisha mali za chama kwa kuandika jina lake katika documents za mali hizo.
Kashfa nyingine ni ya Gazeti la Tanzania Daima la Tanzania daima na kulifanya mali yake binafsi ilihali pesa za kuanzishwa kwa gazeti hilo zimetoka kwa Wazungu kuisadia chadema kuwa na chombo chake cha habari lakini yeye amejimilikisha,
Tuhuma ya kugawa vyeo na madaraka kwa upendeleo: Amekuwa akilalamikiwa kwamba anambeba kimada wake J.Mukya kwenye Ubunge wa viti maalum kila Mwaka pamoja na mwanamama huyo kutokufanyakazi za Chama. Wanaofanya kazi za chama ni wengine na hawapati Ubunge kama ambavyo ilitakiwa.
Kashfa nyingine ni ile ya Mwaka 2015 alipounda kampuni akaisajili kwajina la shemeji yake na kuipa kampuni hiyo tenda ya kutengeneza mabango ya uchaguzi ambapo alichota milioni 700.
Katika Hali ya mshangao bado Wanachama na viongozi wa Chadema pamoja na Wabunge, wameshindwa kujitambua na kukisaidia Chama dhidi ya Mswati Mbowe.