frank epolity
Member
- Mar 30, 2013
- 19
- 1
Mbowe anafikiri kuongoza upinzani Bungeni ni kutembea kwa landcruiser ya serikali tu!!!
Uongozi wa upinzani umemshinda, sasa hivi wabunge wa chadema wanajiendea tu kama mbuzi wa Vingunguti wasiokuwa na mchungaji...
Hamad Rashid aliongoza vizuri upinzani Bungeni...
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Wabunge wengi wa Chadema wanakosa maadili wanaokota maneno vijiweni wanapeleka bungeni.
Wabunge wengi wa Chadema wanakosa maadili wanaokota maneno vijiweni wanapeleka bungeni.
Hivi wabunge wa CDM na Serukamba, Mwigulu na Lusinde nani anaropoka na kutukana hovyo? Ritz hata kama umepewa limbwata na CCM mambo huwa hayaendi hivyo!
Mmh. Ritz Mbona siku hizi huendi tena kwenye biashara zako za china? au Mtaji umekata? Just wanted to know
Akili kubwa inaogoza akili ndogo Lema ndiyo kiongozi wako bungeni au Sugu. Kweli hapo unategemea nini mkuu.
mimi biashara yangu muuza kahawa.
Hapo ndio utajua ukomavu wa ccm kisiasa, cdm inacheza mziki wa ccm, wabunge wa cdm wamesahau nini kimewapeleka bungeni na kubaki kupotezwa na kina mwigulu.
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Wewe lazima unatumia makalio kufikiri. Hivi tukiacha ushabiki wa kijinga ni mbunge gani wa CCM unayeweza kulinganisha na Tundu Lisu katika kutoa hoja zenye mashiko na kwa manufaa ya watanzania
kama ni kweli hizi za kwao nzuri kwa taifa letu ni bora waendelee kuvutaNakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?