Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

CHADEMA is so dissapointing kwa sasa! Na wao sasa hivi wameingia kwenye mipasho ile ile ya CCM.
 

Mi nafkiri we ni taahila ukiongeza na uanachama wa chama chakavu unapata wendawazimu,unawezaje kumheshimu mtu asyekuheshimu?wabunge wako wajingajinga vinywa vyao vimejaa maneno machafu mithiri ya septictank za choo cha stand walishasema nini cha maana?tangu uhuru selikari imeshindwa kupunguza rushwa,kufuta ujinga,kupunguza umaskini na hata kuondoa tatzo la madawati mashulen hawa unawaheshimu kwa lipi?
 
Hebu weka elimu yako angalau tusije poteza muda kumuelimisha KILAZA;We utawapa ---- akina;;;;;;;c
 

Ukiwa ndo hivyo haijafanya kisha ndo nini? Matusi na kuleta mabangi bungeni ndio solution ya matatizo? Badika mkuu, hivi unaweza mruhusu mwanao kuangalia vituko na comedy za mtu kama Lema? Atajifunza nini?
 
Hivi nikiyatumia maneno ya Serukamba kumjibu mleta mada hapa, mods watanifungia au wataniachia?

Je, kuomba radhi ilitosha, bila karipio au adhabu yoyote?
 
Hivi nikiyatumia maneno ya Serukamba kumjibu mleta mada hapa, mods watanifungia au wataniachia?

Je, kuomba radhi ilitosha, bila karipio au adhabu yoyote?

Mwanadamu kukosea ni kawaida ila mbora wa kufanya kosa ni yule ambaye msamaha na pia sio tabia yake Serukamba it was an emotional mistake vipi Godless Lama mbona anarudiarudia kosa na haombi msamaha?
 


Sio kosa lako ni hiyo hali ya kufikiri kwa makalio au tumbo

Una elimu gani wewe? Siajabu unamatatizo ulibemendwa na wazazi wako wewe

Elimu ya Tindu Lissu hata babako hana sometime naona ni wivu tu unaokusumbua
 
Mwanadamu kukosea ni kawaida ila mbora wa kufanya kosa ni yule ambaye msamaha na pia sio tabia yake Serukamba it was an emotional mistake vipi Godless Lama mbona anarudiarudia kosa na haombi msamaha?

Sasa unataka akaombe msamaha kwa nani wakati viongozi wote wa bunge akili yao na wewe hamna tofauti?
 
Sio kosa lako ni hiyo hali ya kufikiri kwa makalio au tumbo

Una elimu gani wewe? Siajabu unamatatizo ulibemendwa na wazazi wako wewe

Elimu ya Tindu Lissu hata babako hana sometime naona ni wivu tu unaokusumbua

Sina wasiwasi kuwa na wewe pia una akili kama za Lema inakuwaje unamuumga mkono mtu mpumbavu asiejiheshimu na kuheshimu viongozi wake? Jama mweupe na hata elimu yake haimsaidii kabisa.
 
Katika siku za karibuni wabunge karibu wote wa chadema wamekuwa wakali kutetea na kuapa kuwa nchi hii haiwezi kutawaliwa na waislam, na pia wamemshambulia Rais kuwa ndiye muasisi wa Udini huku wakisahau historia ya nchi hii.
Je, kwa mtazamo huu chadema sasa hakiwezi kuitwa chama cha harakati za kutetea Ukristo Tanzania? Kama wabunge wetu tuliowachagua wanasema hawataki nchi iwe ya kiislamu je, wanataka iwe ya kikristo? Je, kuna tofauti gani kati ya CHADEMA na KIKUNDI CHA UAMSHO?.

Na je, hii si kupoteza mwelekeo wa UMOJA WA KITAIFA?. Kwa nini waone tatizo la upande mmoja tuu wakati upande wa pili kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu dhidi ya Serikali inayolalamikiwa na chadema kuwa inapendelea waislamu?

Je, huu sio mfano wa mpinga KRISTO mwenye jicho moja?

Nawakilisha kwa maslahi ya umoja wa kitaifa.
 
Hebu weka elimu yako angalau tusije poteza muda kumuelimisha KILAZA;We utawapa ---- akina;;;;;;;c

We unajadili elimu ya mtu au unajadili hoja? Maandishi yako yanaonyesha udhaifu wa kielimu.
 
Mkuu kwani udini sio hoja ya wananchi? Wanaouana kwa mambo ya machinjio ni wabunge au ni watu wa vyama?

Akili tumepewa bure na tuzitumie kwa busara. Udini unawagusa wananchi wa kada na imani tofauti. Lazima kuwe na mjadala mpana sio kulalamika eti nimesomewa ITIKAFU.
 
mbunge gani alitamka nchi haiwezi kutawaliwa kiongozi mwislam.??
 
Wewe ni Mfakili.
Wananchi ni pamoja na imani zao.
Ina maana wabunge wa CDM wakiongelea misitu, mito na mbuga za wanyama pia utadai wameacha kuwatetea wananchi??
Ina maana wabunge wa CDM wakianza kuongelea wizi uliokithiri ofisi ya Rais wewe utadai wameacha kuwatetea wananchi???

Wewe ni mfakili wa ukweli.

 

Kaka,
Hoja bado imening'inia juu. Tumia akili kubwa kuchangia! akili ndogo nadhani hapo sio saizi yake. Tizama kwa macho yote na utaelewa GT alimaanisha nini.
 

Umeongea ukweli japo kuwa umenitukana. Sasa kwa nini CHADEMA wanakuwa hivyo? Kama mnajua nchi hii watu uelewa wao mdogo kwa nini usiwashauri watulie? Kwa maana hizo harakati zao zinanonekana ni fujo (kutokana na ulivyosema watu TZ ni zero brain). Unakumbuka miaka ya 1995 watu walikuwa wakimezeshwa kwamba upinzani ni uadui? Wakakubali matokeo yake mpaka sasa hakuna chama cha upinzani kilichokwisha ingia madarakani. Wakitulia (hao CHADEMA) wanaweza wakafanya wonders maana hata mwaka 2010 (kabla hawajaanza kuwa kama walivyo sasa) walifunika sana. Tatizo CHADEMA Mmeingiliwa........Kuna CIA wamejipenyeza kuwabomoa lakini ninyi hamjui! Kuna mtu maarufu sana CHADEMA ni shushushu (siyo Marando) ambaye ninyi mnamwamini sana mkidhani ni mwenzenu. si mwenzenu huyo!!!! Alijiunga CHADEMA kutoka chama fulani miaka ya hivi karibuni. Mimi ninapokandya kitu huwa nina sababu na ninajua isipokuwa huwa watu hawanielewi. Wanasema mimi ni malengelenge yaani ugonjwa wa kuvimba mwili kama vile umeungua moto. Sawa tu lakini mimi najua vitu na ndo maana siko CHADEMA.....Kwaheri usije kuniongezea tusi jingine.
 
mwanzoni nilikua mdogo, sikua na
chama. nilipokua mkubwa kidogo
nikaanza sikia ubishani wa vyama
TZ. Sasa nimefungua macho kabisa
ndio nagundua CDM ni chama
chenye lengo zuri la kuikomboa
nchi toka usingizini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…